Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

mkuu hii post yako sikuiona kabla sikajukiji hapo juu....

Umeelezea vizuri lakini Pindar anapokea maelekezo pia na siyo yeye anaamua kila kitu...

Hiyo Penis of the Draco ni Penis of the Dragon,hapo wakiwa wanamaanisha ile Obelisk iliyoko pale Manhattan ambayo inawakilisha uume wa Nimrod ambao haukupatikana wakati Semiramis alipokusanya viungo vya Nimrod baada ya kuuawa vibaya na babu yake.Semiramis ambaye anajulikana pia kama Queen of heaven naye anaabudiwa na vyama hivi vya siri na ndiye mwenye sanamu ile pale Manhattan inayojulikana kama statue of liberty....



Obelisk ya USA,New York..


Statue of Liberty,Manhattan USA...
 
DNA ya nyoka ni kitu gani?kuna simulizi inayoonyesha zamani nyoka walikuwa binadamu
 
KAKA UPO VIZURI SANA AISEE..hawa jamaa haeafai wanaanzisha chanzo cha tatizo, wanasababisha tatizo,wanakuja kutatua tatizo.
 
Ahsante Dami umenipa kamwanga
 
KAKA UPO VIZURI SANA AISEE..hawa jamaa haeafai wanaanzisha chanzo cha tatizo, wanasababisha tatizo,wanakuja kutatua tatizo.
Novus ordo Seclorum...

Order out of chaos,New world order,New order of ages n.k....

Inatumika kwa namna tofautu tofauti sana lakini hapo kwenye hiyo yako imetumika hiyo ya order out of chaos,wanaleta vurugu mahali ili kuleta matokeo wayatakayo.....

Mfano wa hili ni vita viwili vya dunia,vita ya Iraq,Afghanistan,WTC attack,ISIS war,Syrian war,Congo war,Somali war,na vita vingine vyote vinavyoendelea duniani iwe vya nchi na nchi au vya wenyewe kwa wenyewe vyote vimetengenezwa na hawa watu ambao kila mmoja anawaelewa kwa namna tofauti kulingana na ufahamu wake wa amambo yanavyoendelea duniani...

Hatujachelewa sana tunaweza kujua mengi bado...
 
Duh, I understand the order we get out of chaos now.....low memory ...loading ....stacked...!
 

Hawa jamaa washenzi kweli aiseee.....kweli kuwaelewa mpaka upate nondo kama hizi...na wameshateka kila sehemu makanisani misikitini wamejaaa wanaedit tu taratibu za ibada
 
Umepapasa tu kuhusu ukweli wa dunia na anayeiendesha....

Endelea kujifunza na utajua hao Skull and Bones ni sisimizi tu,hata Freemason na Illuminati ni sisimizi tu...

Jifunze kuhusu Pindar utapata mwanga kidogo....
13families n KKK....apitie pia Jesuit..
 
Umepapasa tu kuhusu ukweli wa dunia na anayeiendesha....

Endelea kujifunza na utajua hao Skull and Bones ni sisimizi tu,hata Freemason na Illuminati ni sisimizi tu...

Jifunze kuhusu Pindar utapata mwanga kidogo....
Mweeeh!! Kazi ipo!
 
Hawa jamaa washenzi kweli aiseee.....kweli kuwaelewa mpaka upate nondo kama hizi...na wameshateka kila sehemu makanisani misikitini wamejaaa wanaedit tu taratibu za ibada
Kimsingi tunapaswa kuwa makini sana hasa kwenye hizi imani na ukiendelea kufanya utafiti wako kuna dini utaziona kuwa ni za kutoka sehemu moja tu lakini zinatofautiana majina tu....

Jambo hilo wengi hatulijui haswa sisi wa huku Afrika maana hatupendi kusoma na kufuatilia mambo mengi kwa kina na ndiyo hapo tunamalizwa kiulaini kabisa na wale wachache ambao wanajisomea na kutafiti zaidi wanaonekana vichaa pale wanapoongelea mambo fulani ambayo yanaonekana kama hayawezekanini....

Kimsingi hiyo ndiyo shabaha ya wakuu wa ulimwengu huu ili ifike mahali wale wanaozungumza ukweli waonekane vichaa na wasisikilizwe.Sitakuja kusahau nilipokuwa namueleza bro wangu kuhusu Freemason mwaka 2010 aliniangalia tu na baadaye akawa anaongea na rafiki yangu mmoja akimuuliza kama nilikuwa nimeanza kuvuta bangi....

Baada ya mtu mmoja maarufu kufariki hapa Bongo ndipo habari za hao jamaa zilianza kumwagika sana na akaelewa japokuwa wakati namuambia kuhusu hao jamaa nilikuwa naongelea basics tu na siyo yale makubwa na nadhani angesema kabisa wazi wazi kuwa nilikuwa ni kichaa....

Tupende kujisomea tutapona....
 
Eiyer nakupongeza sana mkuu umeichagiza hii mada kwa kiasi kikubwa mno, nikuombe tuu mkuu hiko ulichokipata kwa muda wote huo usibakiwe nacho bila ya kutumegea japo kwa kidogo tu mr nasi angalao tufunuke maaarifa kidogo.
Mkuu,bado najifunza mambo haya na naona kama hata robo sijafika na kuna hatua nikiifikia nitaandika kitabu au nitatafuta namna ya kutengeneza documentary ambayo atakayeitaka nitampa bure kabisa....

Ninapoongelea haya huwa nashindwa nianzie wapi maana ni mengi sana.Kwa mfano uki trace Freemason utajikuta unaishia kwa akina Albert Pike na imani ya ya G.A.O.T.U basi,uki trace back Illuminati utaishia kwa wakuu 13 walioko juu na kama utakuwa siyo mvivu utaishia kwa Pindar baasi,ukifuatilia Theosophical society utajikuta unaishia kwa akina Ms Blavaski n.k,utajikuta unawaona hao ndiyo wanaiongoza dunia kama wengi wanavyofikiri wakati kuna wakubwa zaidi...

Kimsingi unatakiwa utafute vyanzo zaidi vya kutafiti,Mainly P. Hall aliwahi kusema kwamba wanampango wa kuirudisha bara la Atlantis katika ubora wake,sasa hapo ndiyo tujiulize huko Atlantis kulikuwa na nini na bara hilo leo halipo kwasababi ipi?

Hapo nawashauri ni pazuri kuanzia maana utaenda mbele kisha utarudi hadi wakati wa zamani sana na utajua mengi sana ambayo nikiandika hapa ni mengi sana....


Ramani ya dunia ikionesha bara la Atlantis...
 

mkuu andika hayohayo machache ktk mpangilio wenye kuleta maana na mtiririko wa hao jamaa,ili kwa pamoja tuongezeane maarifa naamini humu wapo wanjua ambavyo wewe bado haujavifikia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…