FY2021|22 HESLB imesajili wanafunzi wapya elfu 29 tofauti na elfu 32 wapya waliosajiliwa FY2016|2020

asilimia 50 ya wanafunzi wamepewa boom tuuu.... sasa haya kama ni mafanikio sawa..... yani uwe na wanafunzi karibu elfu 50 wanapewa boom tuu halafu yawe mafanikio kweli? wengi wanashindwa kulipa ada...
Ulivyo andika hapo unaweza ukadhani ni neema ... waulize walio pangiwa mikopo leo wakwambie kuhusu ada za vyuo.....
Nilitegemea ongezeko liwe kwenye wanafunzi hasa uwezo wa kulipa ada sio kuwapa hela ya kula halafu washindwe kulipa ada tujisifu tumeongeza idadi ya wanufaika..
Kulikuwa hakuna sababu ya kuongeza idadi ya watu wengi wakati .hatuwezi kuwalipia ada ambalo ndio tatizo kubwa... halafu tunajisifu... mtu akipiga mahesabu ya ada anaweza shindwa kwenye chuo.
Vyuoni tatizo kubwa ni ada..sio kula na kulala... ni vyema serikali ijikite kwenye kutatua matatizo ya kweli lakini sio kushindana kwa awamu hii na hii ...
 
Wewe umeeleza walau vizuri,

Ngoja nifuatilie nitakufuata inbox

Lakini pesa zaidi 120b zimeongezwa kwaajili ya hao wapi,
U
 
Jau sana boom bila ada uongo asee...
Af arts na edu kwa ujumla angalau kuliko afya akat afya ndo walituambia ndo Wana consider kuliko zngne!!
 
ndo sielewi, an hapo itakuwaje manake kuna watu ambao wameambiwa wasubiri ambayo ndo second phase...
Asa kwa mtu aliyepata kidogo ataongezewa au ndo imekaaje mkuu...
Nilikwambia Rais Samia hajaja kuleta maumivu ila kicheko,

Ndio maana nikasema restructuring haiwezi kufanywa wakati wa mkopo ila kabla ya mkopo,

Ndio maana naamini kwa usikivu wa Rais wetu mtapatiwa mlichopatiwa hapo kabla
 
Ni kweli asee, mtu kapata boom lakn hela ya Field na Books and stationery hajapewa hapo bado msoto upo palepale...lakn atahesabika kuwa kapata mkopo.
 
Mkuu nikupongeze kwa kutumia akili zako vizuri Sana
Napenda mabandiko ya aina hii sio lelelee tu

Hongera sana Rais Samia
 
Baada ya kazi wajatujadili kidogo nchi yetu,

Mada nzuri sana hii,
Mwandishi kongole
 
Rais Samia tumpe miaka 15
Hii haijawahi kutokea kabisa
Huyu ndio Rais sasa hakuna makelele wala kutishana na kujigamba mambo yanaenda kwa kasi sana..

Nilisema mapema kabisa kwamba mama atawafunika Marais wote waliotangulia na ambavyo ana nyota ya kuaminiwa ndio kabisaa nchi itaneemeka Sana.
 
U
Huyu ndio Rais sasa hakuna makelele wala kutishana na kujigamba mambo yanaenda kwa kasi sana..

Nilisema mapema kabisa kwamba mama atawafunika Marais wote waliotangulia na ambavyo ana nyota ya kuaminiwa ndio kabisaa nchi itaneemeka Sana.
Ulisema kweli namimi nakubaliana na wewe,

Mama ananyota sana
 
U

Ulisema kweli namimi nakubaliana na wewe,

Mama ananyota sana
Mama anasema kwenye historia yake hajawahi shindana na mtu akashidwa 😃😃..

Watu wa dizaini yake huwa ni wachache sana,nimewahi kuwa na mwanamke wa aina yake yaani wenye nyota zao toka kwa mzazi wake alikuwa anatunza pesa za familia yaani baba hampi mke wake ila binti yake.

Shuleni kiongozi sio hata kwamba eti kupanga wala,popote akowapo anaaminika haraka Sana na ushuhuda huu haukuishia kwenye hayo tuu hadi biashara na chochyanachofanya kinafanikiwa..

Nilimuogopa nikakimbia maana mkuu unaweza kuolewa 🤣🤣..

Sasa hivi huyo dada ana pesa zake za kutosha ila mambo ya ndoa ndio hayajakaa sawa hapo ndipo kwenye mateso yake ila sio pesa..

Kwa hiyo watu wenye nyota huwa wapo na huwa zaidi kwa wanawake kwa wanaume sio Sana maana tuna mambo mengi vichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…