FYI: Israel ni taifa la pili kwa kuiuzia silaha China baada ya Urusi

Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry.

Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza Israel inatoa wapi Jeuri, uliza mchango wa Mataifa ya wavaa kobazi duniani ni upi zaidi ya Ugaidi
Ni kweli hayo mataifa ni useless bora yawe Annexed
 
Usiwe unaropoka ropoka tu.
Lete chanzo cha taarifa hapa.
JF siku hizi sijui imekuaje aise!?
China imeanza kuunda silaha tangu enzi hizo za Ming dynasty ije inunue silaha kwa Israel!?
Mbona simple tu China wako vizuri kwene technologia ya digital information siyo military equipment

Elewa bas siyo kupwayuka
 
Yaani hata hilo unataka source? Kama ni mtu unayeishughulisha akili tako, hilo lipo wazi sana.

Na ilikwishatangazwa mara nyingi na vyombo vya habari vya kimataifa, pale China ilipofanikiwa kununua tekinolojia ya mawasiliano toka Israel, baada ya kugonga mwamba kuipata tekinolojia hiyo toka USA.

Ufahamu kuwa Israel inauza silaha kwa mataifa mengi, mpaka ya kiarabu. Inauza silaha pua kwa Marekani, japo yentewe inanunua nyingi zaidi katika thamani kutoka Marekani. Israel inatenfeneza mpaka het fighters. Ni nchi ndogo katika ukubwa wa eneo na idadi ya watu, lakini ni kubwa sana katika tekinolojia.

Chukua na hiyo"

"Meanwhile, one distinct advantage Israel holds is its air force, considered one of the most advanced in the world."

Hivyo msishangae Iran kupigwa na marubani wanawake. Hawa waisrael katika tekinolojia ya vita vya anga wapo juu sana.

hawezi elewa gaidi huyo
 
Kwa hiyo,Israli anamuuzia China stock yoote, halafu yeye anasaidiwa na USA?
 
Ushawahi sikia neno Necessity is mother of all invention?

Kwa Israel kutumia akili ya wananchi wake ni lazima, Israel Ndio nchi yenye startups nyingi per capita kuliko nchi zote Duniani, wanaongoza kwa kuwa na research projects nyingi kuliko mataifa mengi sana Duniani.

Uelewa neno necessity.. Siku ambayo maendeleo itakuwa ni lazima kwa Watanzania wataacha uchawa na kuanza kujiongoza vyema na kufanya mambo makubwa kama Israeli
 
Usiwe unaropoka ropoka tu.
Lete chanzo cha taarifa hapa.
JF siku hizi sijui imekuaje aise!?
China imeanza kuunda silaha tangu enzi hizo za Ming dynasty ije inunue silaha kwa Israel!?
Hainunui silaha ila inanunua teknolojia.............
 
Dah mtu anaamua tu kuchukua taarifa huko na kuileta bila hata kueleza undani wake, chanzo chake nk.
Nb.
Moderators mnashindwa kazi au?
 
Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry.

Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza Israel inatoa wapi Jeuri, uliza mchango wa Mataifa ya wavaa kobazi duniani ni upi zaidi ya Ugaidi
Sasa hoja yako ni nini? mbona sikuhizi watu mnachanganyikiwa sana, sasa israel kumuuzia china silaha ndio kitu cha ajabu?
 
Maajabu, Israel inunue silaha USA na kuziuza China?
Jielimishe.

Israell inanunua silaha toka USA, lakini pia USA ndiyo nchi inayoongoza kununua silaha toka Israel.

The main destination of Weapons exports from Israel are: United States ($123M), Philippines ($65.7M), India ($41.1M), Thailand ($27.1M), and Spain ($12M). The fastest growing export markets for Weapons of Israel between 2021 and 2022 were El Salvador ($8.46M), Australia ($6.53M), and Brazil ($6.46M).

Does China buy weapons from Israel?

China had looked to Israel for the arms and military technology it could not acquire from the United States, Europe and Russia. Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites.

Kwa hiyo,Israli anamuuzia China stock yoote, halafu yeye anasaidiwa na USA?
Duh!! Mbona unaonesha uelewa duni?

Kwani hujawahi kusikia Shinyanga wananunua mahindi toka Singida; na Singida wananunua mchele toka Shinyanga?
 
Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry.

Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza Israel inatoa wapi Jeuri, uliza mchango wa Mataifa ya wavaa kobazi duniani ni upi zaidi ya Ugaidi
JF siyo ya porojo unaokota habari kwenye vijiwe vya Mbege unaleta JF china anateneza silaha zake mwenyewe leta ushahidi au endelea kuwadanganya wavaa misaba wenzako.
 
Jielimishe.

Israell inanunua silaha toka USA, lakini pia USA ndiyo nchi inayoongoza kununua silaha toka Israel.

The main destination of Weapons exports from Israel are: United States ($123M), Philippines ($65.7M), India ($41.1M), Thailand ($27.1M), and Spain ($12M). The fastest growing export markets for Weapons of Israel between 2021 and 2022 were El Salvador ($8.46M), Australia ($6.53M), and Brazil ($6.46M).

Does China buy weapons from Israel?

China had looked to Israel for the arms and military technology it could not acquire from the United States, Europe and Russia. Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites.

Asante kwa Kujazia nyama..

Kobazi wanasaidia Nini Dunia.
 
Usiwe unaropoka ropoka tu.
Lete chanzo cha taarifa hapa.
JF siku hizi sijui imekuaje aise!?
China imeanza kuunda silaha tangu enzi hizo za Ming dynasty ije inunue silaha kwa Israel!?
Hao ni walokole chochote wakisikiacho kizur cha isreli hata kama ni cha uongo kiasi gani watakuja nacho mbio.. isreli siku us akikata mrija pale wa silaha amekwisha
 
Usiwe unaropoka ropoka tu.
Lete chanzo cha taarifa hapa.
JF siku hizi sijui imekuaje aise!?
China imeanza kuunda silaha tangu enzi hizo za Ming dynasty ije inunue silaha kwa Israel!?
Angalia trade btwn china and Israel. Wanafanya biashara gani
 
JF siyo ya porojo unaokota habari kwenye vijiwe vya Mbege unaleta JF china anateneza silaha zake mwenyewe leta ushahidi au endelea kuwadanganya wavaa misaba wenzako.
Jibu hoja yangu kwa hoja mbadala tafuta nchi za wavaa kobazi ulinganishe na trade za na China
 
Naona hii habari chanzo ni wewe mwenyewe. Au kwasababu umeandika kiingereza ndio unataka tukuamini😂
 
Back
Top Bottom