FYI: Israel ni taifa la pili kwa kuiuzia silaha China baada ya Urusi

FYI: Israel ni taifa la pili kwa kuiuzia silaha China baada ya Urusi

Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China is a vital market for Israel's aerospace and defense industry.

Wavaa kobazi kabla ya kujiuliza Israel inatoa wapi Jeuri, uliza mchango wa Mataifa ya wavaa kobazi duniani ni upi zaidi ya Ugaidi
We huoni China alivyo mtia adabu yule ambassador wa Israel pale UN, alimuambia aongee kwa adabu 😄
 
Israel mradi wake wa fighter jet ulipozimwa 1987 na marekani kwa nguvu zote ile idara ikaanza kuuza tech na ndio utajili wa Israel ukawa mkubwa sana Zile ndege za China ni same designs ya Israel.. miaka hiyo population ya Israel ilikuwa 4 milioni

Kila kifaa cha ndege hizo RAVI ni faida kwa Israel hadi leo hii...
1730636247447.jpeg
 
Tuache chuki zisizo na msingi. Hapa duniani tunaishi kwa kutegemeana.
 
Mbona simple tu China wako vizuri kwene technologia ya digital information siyo military equipment

Elewa bas siyo kupwayuka
Naelewa nachokizungumza wala sipayuki.
Na link aliyoleta jamaa China inanunua baadhi ya tech kwa Israel ambazo hazizidi ukubwa hata $10 billions.
Na tech anayonunua yeye haswa ni upande wa satellite tu.
 
Ushawahi sikia neno Necessity is mother of all invention?

Kwa Israel kutumia akili ya wananchi wake ni lazima, Israel Ndio nchi yenye startups nyingi per capita kuliko nchi zote Duniani, wanaongoza kwa kuwa na research projects nyingi kuliko mataifa mengi sana Duniani.

Uelewa neno necessity.. Siku ambayo maendeleo itakuwa ni lazima kwa Watanzania wataacha uchawa na kuanza kujiongoza vyema na kufanya mambo makubwa kama Israeli
Usitudanganye aisee usizidi kutudanganya.
 
Mtu anauliza kobazi ana mchango gani katika teknolojia ilhali wasaidizi wa Israel wamempiga pini toka 2007 asiuze wala kununua silaha nje ya nchi.
Ajabu hii.
Screenshot_2024-11-03-17-57-18-22_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Usiwe unaropoka ropoka tu.
Lete chanzo cha taarifa hapa.
JF siku hizi sijui imekuaje aise!?
China imeanza kuunda silaha tangu enzi hizo za Ming dynasty ije inunue silaha kwa Israel!?

Israeli Arms Exports to China of Growing Concern to U.S.​


Arms Control Today
Wade Boese
The United States has reportedly increased pressure on Israel about its arms sales to China, and Israel has given assurances that it will not export any item that could harm U.S. security, according to U.S. and Israeli officials in January.
U.S. concerns about Israeli arms sales to China have existed for more than a decade and came to a head in July 2000 when the United States persuaded Israel to cancel the sale of the Phalcon, an advanced, airborne early-warning system, to China. Afterward, U.S.-Israeli differences over arms sales to China publicly receded but resurfaced in early January when the Israeli newspaper Ha’aretz reported that the United States had recently asked Israel to end all arms sales to China.
U.S. and Israeli officials have not publicly confirmed whether the United States made such a request, but State Department spokesman Richard Boucher suggested that the Israeli-Chinese arms trade is a continuing problem. He said January 2 that it is an “ongoing subject of discussion” between the United States and Israel. He further stated that the subject “comes up regularly” and there is a “need for any suppliers of weaponry to be considerate and concerned about the strategic situation in a region that’s of great sensitivity and importance to us.” The United States is a strong supporter of Taiwan, which Beijing is seeking to reunify with the Chinese mainland.
China, according to the Associated Press, issued a written statement January 3 declaring, “No country has the right to interfere in the developing military trade cooperation between China and Israel.”
When asked whether Israel had halted all arms sales to China, a spokesperson for the Israeli Defense Ministry replied January 8, “Defense relations between Israel and China require from time to time consideration of specific issues. This revision [sic] is conducted vis-à-vis China and on concrete issues also vis-à-vis the U.S., bearing in mind American sensitivity.”
Another Israeli official, who asked to remain anonymous, explained in an interview January 8 that Israel is committed to refraining from exports that would harm U.S. security. The official suggested, however, that Israel would continue to sell some military equipment to China that is readily available on the global arms market.
One nongovernmental expert in Washington familiar with the issue, who also wished to remain anonymous, said his impression is that the United States is seeking to curtail Israeli arms sales to China to the greatest extent possible, while Israel is seeking minimum restraint on its exports.
The largest recipient of U.S. aid, Israel first approached China about possible arms deals in 1979, reportedly hoping to win some Chinese restraint in arms sales to Israel’s neighbors and enemies.
 
Hahahaaah! Ukishavimbiwa makande ya asubuhi unadhani kila comment ni ya kuquote bila kutumia akili?

Hebu niletee "5 publications" zinazomuonesha US km gaidi then tuendelee na ubishani wetu
Unaona nilichosema!?
Akili yako hakuna inachojua kuhusu geopolitics.
Nenda kasome maana ya gaidi kesha oanisha matendo ya USA na hao wengine then utajua nani gaidi halisi.
Unatarajia UN imtangaze USA akifanya terror acts ilhali USA ndio baba wa UN!?
Unafaa kuitwa mtoto wewe.
 
Ninaamin israel itamalizana na ayatollah mwezi haupiti
 
Unaona nilichosema!?
Akili yako hakuna inachojua kuhusu geopolitics.
Nenda kasome maana ya gaidi kesha oanisha matendo ya USA na hao wengine then utajua nani gaidi halisi.
Unatarajia UN imtangaze USA akifanya terror acts ilhali USA ndio baba wa UN!?
Unafaa kuitwa mtoto wewe.
Acha mbwembwe we dogo, kwahiyo unataka nikuamini wewe kwa kuniambia US ni gaidi niache kuyaamini mawazo ya dunia nzima? Yaani US awe gaidi harafu IS, Taliban, HAMAS, Boko haram, al-qaida, n.k wawe wapigania haki au?
Siku zote ukishapokea taarifa za vijiwe vya kahawa, iruhusu na akili yako izichakate kwanza kabla ya kuzitoa na mwisho uonekane zuzu

Sometimes huhitaji kutumia lugha ngumu km Patrice Rumumba ili uonekane msomi, kuwa simple tu inatosha kueleweka kwa wenye akili
 
Back
Top Bottom