FYI: Israel ni taifa la pili kwa kuiuzia silaha China baada ya Urusi

Ni kweli hayo mataifa ni useless bora yawe Annexed
 
Usiwe unaropoka ropoka tu.
Lete chanzo cha taarifa hapa.
JF siku hizi sijui imekuaje aise!?
China imeanza kuunda silaha tangu enzi hizo za Ming dynasty ije inunue silaha kwa Israel!?
Mbona simple tu China wako vizuri kwene technologia ya digital information siyo military equipment

Elewa bas siyo kupwayuka
 
hawezi elewa gaidi huyo
 
Kwa hiyo,Israli anamuuzia China stock yoote, halafu yeye anasaidiwa na USA?
 
Kwa hiyo,Israli anamuuzia China stock yoote, halafu yeye anasaidiwa na USA?
Ushawahi sikia neno Necessity is mother of all invention?

Kwa Israel kutumia akili ya wananchi wake ni lazima, Israel Ndio nchi yenye startups nyingi per capita kuliko nchi zote Duniani, wanaongoza kwa kuwa na research projects nyingi kuliko mataifa mengi sana Duniani.

Uelewa neno necessity.. Siku ambayo maendeleo itakuwa ni lazima kwa Watanzania wataacha uchawa na kuanza kujiongoza vyema na kufanya mambo makubwa kama Israeli
 
Usiwe unaropoka ropoka tu.
Lete chanzo cha taarifa hapa.
JF siku hizi sijui imekuaje aise!?
China imeanza kuunda silaha tangu enzi hizo za Ming dynasty ije inunue silaha kwa Israel!?
Hainunui silaha ila inanunua teknolojia.............
 
Dah mtu anaamua tu kuchukua taarifa huko na kuileta bila hata kueleza undani wake, chanzo chake nk.
Nb.
Moderators mnashindwa kazi au?
 
Sasa hoja yako ni nini? mbona sikuhizi watu mnachanganyikiwa sana, sasa israel kumuuzia china silaha ndio kitu cha ajabu?
 
Maajabu, Israel inunue silaha USA na kuziuza China?
Jielimishe.

Israell inanunua silaha toka USA, lakini pia USA ndiyo nchi inayoongoza kununua silaha toka Israel.

The main destination of Weapons exports from Israel are: United States ($123M), Philippines ($65.7M), India ($41.1M), Thailand ($27.1M), and Spain ($12M). The fastest growing export markets for Weapons of Israel between 2021 and 2022 were El Salvador ($8.46M), Australia ($6.53M), and Brazil ($6.46M).

Does China buy weapons from Israel?

China had looked to Israel for the arms and military technology it could not acquire from the United States, Europe and Russia. Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites.

Kwa hiyo,Israli anamuuzia China stock yoote, halafu yeye anasaidiwa na USA?
Duh!! Mbona unaonesha uelewa duni?

Kwani hujawahi kusikia Shinyanga wananunua mahindi toka Singida; na Singida wananunua mchele toka Shinyanga?
 
JF siyo ya porojo unaokota habari kwenye vijiwe vya Mbege unaleta JF china anateneza silaha zake mwenyewe leta ushahidi au endelea kuwadanganya wavaa misaba wenzako.
 
Asante kwa Kujazia nyama..

Kobazi wanasaidia Nini Dunia.
 
Usiwe unaropoka ropoka tu.
Lete chanzo cha taarifa hapa.
JF siku hizi sijui imekuaje aise!?
China imeanza kuunda silaha tangu enzi hizo za Ming dynasty ije inunue silaha kwa Israel!?
Hao ni walokole chochote wakisikiacho kizur cha isreli hata kama ni cha uongo kiasi gani watakuja nacho mbio.. isreli siku us akikata mrija pale wa silaha amekwisha
 
Usiwe unaropoka ropoka tu.
Lete chanzo cha taarifa hapa.
JF siku hizi sijui imekuaje aise!?
China imeanza kuunda silaha tangu enzi hizo za Ming dynasty ije inunue silaha kwa Israel!?
Angalia trade btwn china and Israel. Wanafanya biashara gani
 
JF siyo ya porojo unaokota habari kwenye vijiwe vya Mbege unaleta JF china anateneza silaha zake mwenyewe leta ushahidi au endelea kuwadanganya wavaa misaba wenzako.
Jibu hoja yangu kwa hoja mbadala tafuta nchi za wavaa kobazi ulinganishe na trade za na China
 
Naona hii habari chanzo ni wewe mwenyewe. Au kwasababu umeandika kiingereza ndio unataka tukuamini😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…