G.S imekuaje siku hizi ?nyepesi sana ama ?

G.S imekuaje siku hizi ?nyepesi sana ama ?

GS si tulikuwa tunawekewa subsidiary? I mean 'S'
Hata kwenye mitihani ya mock, pre Necta kote huko tuliwekewa S. Mi sikuwahi kuona hizo D, C, B wala A
Sahihi kabisa. Miaka ya nyuma General Studies ilikuwa ni ya kupata S tu. Upate 90, utawekewa S! Ukipata chini ya kiwango chao walichojiwekea ndiyo unapata F. Siku hizi naona mambo yamebadilika.
 
Hata zamani watu walikua wanapiga mkuu, ila zilikua zinaandikwa S tu.
 
Back
Top Bottom