Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 6,406 Reaction score 12,736 Jul 8, 2026 Thread starter #21 Stroke said: Maisha yamekuwa rahisi mno. Click to expand... Madogo wanateleza tu saa hizi
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 36,315 Reaction score 104,500 Jul 8, 2026 #22 Monetary doctor said: S ndo nn Click to expand... Subsidiary
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Jul 8, 2026 #23 Hulda-Tamarri said: GS si tulikuwa tunawekewa subsidiary? I mean 'S' Hata kwenye mitihani ya mock, pre Necta kote huko tuliwekewa S. Mi sikuwahi kuona hizo D, C, B wala A Click to expand... Sahihi kabisa. Miaka ya nyuma General Studies ilikuwa ni ya kupata S tu. Upate 90, utawekewa S! Ukipata chini ya kiwango chao walichojiwekea ndiyo unapata F. Siku hizi naona mambo yamebadilika.
Hulda-Tamarri said: GS si tulikuwa tunawekewa subsidiary? I mean 'S' Hata kwenye mitihani ya mock, pre Necta kote huko tuliwekewa S. Mi sikuwahi kuona hizo D, C, B wala A Click to expand... Sahihi kabisa. Miaka ya nyuma General Studies ilikuwa ni ya kupata S tu. Upate 90, utawekewa S! Ukipata chini ya kiwango chao walichojiwekea ndiyo unapata F. Siku hizi naona mambo yamebadilika.
Jett JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 2,712 Reaction score 5,718 Jul 8, 2026 #24 Hata zamani watu walikua wanapiga mkuu, ila zilikua zinaandikwa S tu.