PreGE2025 G55 & COVID 19, kipimo sahihi cha kumpima Tundu Lissu kiuongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Matteo Vargas

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
1,054
Reaction score
1,617
Hali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leadership character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama kinaweza kuparaganyika zaidi.

Hivyo kwa hali iliyopo kwa sasa ndio itakuwa kipimo sahihi cha kiuongozi kwa Mh. Tundu Antipasi Lissu namna atakavyoweza kurudisha utulivu ndani ya chama kwa kuhakikisha makundi yote ndani ya chama hasa G55 na mengine yanarudi kwenye mstari wa chama.

Swali linabaki, akishindwa kuweka msawazo ndani chama, Je changamoto kubwa za kitaifa ataziweza?

Mungu ibariki Tanzania.
 
Hali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leaderships character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama kinaweza kuparaganyika zaidi.

Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo a.k.a CHADEMA ndio itaongea
 
Hali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leaderships character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama kinaweza kuparaganyika zaidi.

Hivyo kwa hali iliyopo kwa sasa ndio itakuwa kipimo sahihi cha kiuongozi kwa Mh. Tundu Antipasi Lissu namna atakavyoweza kurudisha utulivu ndani ya chama kwa kuhakikisha makundi yote ndani ya chama hasa G55 na mengine yanarudi kwenye mstari wa chama.

Swali linabaki, akishindwa kuweka msawazo ndani chama, Je changamoto kubwa za kitaifa ataziweza?

Mungu ibariki Tanzania.
Hawa ni Njaa 55 kuwaita G55 ni kuwakosea heshima Original G55.
 
Dalili zote zinaonesha kuwa CHADEMA imekalia kuti kavu maana ule mnyukano wa 50/50 pale mlimani city pamoja na siasa za kuyatoa ya sirini hadharani ili itengenezwe new legacy ndani ya Chama. Tayari imetengeneza maadui wa ndani

Lissu ni kiongozi mtendaji ambaye anasimamia sheria pasipo kuangalia sana diplomacy ambayo kwa sasa inahitajika..

Wapo katika kipindi cha kujenga ngoma imara au kukizamisha chama matopeni huku wakishikilia hangover ya chama kikuu cha upinzani ambayo inaweza ondoka muda wowote.

Lissu anahitaji utulivu na kutozipalilia attacks, badala yake watu wapingane kwa hoja ili kuwe na usawa. Pasipo hili. 2025 si mbali
 
Hali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leaderships character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama kinaweza kuparaganyika zaidi.

Hivyo kwa hali iliyopo kwa sasa ndio itakuwa kipimo sahihi cha kiuongozi kwa Mh. Tundu Antipasi Lissu namna atakavyoweza kurudisha utulivu ndani ya chama kwa kuhakikisha makundi yote ndani ya chama hasa G55 na mengine yanarudi kwenye mstari wa chama.

Swali linabaki, akishindwa kuweka msawazo ndani chama, Je changamoto kubwa za kitaifa ataziweza?

Mungu ibariki Tanzania.
wahuni na wasaliti kazi yao inajulikana, maana wanatakiwa kumuunga mkono mwenyekiti wao badala yake kwa ajili ya matumbo yao na ccm wanageuka wasaliti,Lisu atabaki kuwa imara na chama pia japo hawana budi kupitia kwenye tanuru ya moto mkali ili wafae zaidi kwa masilahi ya taifa na wanamchi wa tanzania no reforms no election
 
Upinzani wa mitazamo na mawazo ndani ya chama kimoja si kitu kigeni na kibaya isipokuwa uasi ndani ya chama kimoja ni kosa kubwa linalogharimu uanachama wa mwanachama yeyote...

Hatma ya hao G55 itategemea kama wamefanya uasi au wametoa mawazo tu...
 
Dalili zote zinaonesha kuwa CHADEMA imekalia kuti kavu maana ule mnyukano wa 50/50 pale mlimani city pamoja na siasa za kuyatoa ya sirini hadharani ili itengenezwe new legacy ndani ya Chama. Tayari imetengeneza maadui wa ndani

Lissu ni kiongozi mtendaji ambaye anasimamia sheria pasipo kuangalia sana diplomacy ambayo kwa sasa inahitajika..

Wapo katika kipindi cha kujenga ngoma imara au kukizamisha chama matopeni huku wakishikilia hangover ya chama kikuu cha upinzani ambayo inaweza ondoka muda wowote.

Lissu anahitaji utulivu na kutozipalilia attacks, badala yake watu wapingane kwa hoja ili kuwe na usawa. Pasipo hili. 2025 si mbali
uchaguzi uliisha hao gorillas55 upande wao ulishindwa wanatakiwa wawaumge mkono upande ulioshinda kikatiba,sasa inaonekana chadema inawenyeviti wawili mmoja anakipgania chama hadharani mwingine nyuma ya pazia kwa masilahi ya ccm,sasa wajiandae kwa lolote hatua walioyofikia ni katiba itasema kwa watu kama hao,magu aliwanunua wapizani wengi hasa chadema na chama bado kipo,hata bilao chama kitasonga mbele tu kwani nini
 
Dalili zote zinaonesha kuwa CHADEMA imekalia kuti kavu maana ule mnyukano wa 50/50 pale mlimani city pamoja na siasa za kuyatoa ya sirini hadharani ili itengenezwe new legacy ndani ya Chama. Tayari imetengeneza maadui wa ndani

Lissu ni kiongozi mtendaji ambaye anasimamia sheria pasipo kuangalia sana diplomacy ambayo kwa sasa inahitajika..

Wapo katika kipindi cha kujenga ngoma imara au kukizamisha chama matopeni huku wakishikilia hangover ya chama kikuu cha upinzani ambayo inaweza ondoka muda wowote.

Lissu anahitaji utulivu na kutozipalilia attacks, badala yake watu wapingane kwa hoja ili kuwe na usawa. Pasipo hili. 2025 si mbali
Paragraph no. 2 inahitaji umakini kwa kila mtu
 
Lissu inabidi atulize kichwa na asikilize ushauri wa watu makini, sio watu tu wanaomsifia tu kwa mustakabali na hatima ya chama chake na yeye kubaki kama mwanasiasa mwenye ushawishi na kuheshimika nchini.

Kuna issue naziona huko mbeleni.
Kampeni zikianza July na yeye akiendelea kusisitiza no election, kukinukisha na kuzuia uchaguzi atapoteza support kubwa sana ndani na nje ya chama. Wengi zaidi wanajitokeza kumpinga.

Serikali inaweza kumkamata kumpa kesi ya kutaka kuvuruga takwa la kikatiba. Wakamweka ndani mpaka uchaguzi uishe. Sioni nchimbi na Samia wakiwa na huruma. Huruma anajua ndiye Rais ajaye hawezi kuchezea hiyo nafasi na Samia sababu hajamaliza kuuza kila rasilimali muhimu.

Baada ya uchaguzi, wanachama wengi wa Chadema watavunjika moyo, sababu hawataweza kuzuia uchaguzi. Mtaji wa kisiasa na ushawishi wa Lissu ndani ya chama chake utakuwa mdogo sana, uasi utaongezeka.

Baada ya October kutokana na kukosa kuungwa mkono itabidi ili aeendelee kuongoza kutumia ubabe, huku akifukuza wanachama wengi wanaompinga au ajiuzulu kwa kukosa support.
Hali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leaderships character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama kinaweza kuparaganyika zaidi.

Hivyo kwa hali iliyopo kwa sasa ndio itakuwa kipimo sahihi cha kiuongozi kwa Mh. Tundu Antipasi Lissu namna atakavyoweza kurudisha utulivu ndani ya chama kwa kuhakikisha makundi yote ndani ya chama hasa G55 na mengine yanarudi kwenye mstari wa chama.

Swali linabaki, akishindwa kuweka msawazo ndani chama, Je changamoto kubwa za kitaifa ataziweza?

Mungu ibariki Tanzania.
 
wahuni na wasaliti kazi yao inajulikana, maana wanatakiwa kumuunga mkono mwenyekiti wao badala yake kwa ajili ya matumbo yao na ccm wanageuka wasaliti,Lisu atabaki kuwa imara na chama pia japo hawana budi kupitia kwenye tanuru ya moto mkali ili wafae zaidi kwa masilahi ya taifa na wanamchi wa tanzania no reforms no election
Akivuka hapa CDM itakuwa tishio sn
 
G55 walikuwa na hoja waliposema agenda ya No reform No election ilihitaji uungwaji mkono kutoka makundi mbali mbali naona ilijibiwa juu juu. Lakini hata ukiangalia wananchi wanajitokeza kujiandikisha kwa wingi kwenye daftari la wapiga kura ikimaanisha wapo tayari kushiriki uchaguzi kwa 100%
Lissu inabidi atulize kichwa na asikilize ushauri wa watu makini, sio watu tu wanaomsifia tu kwa mustakabali na hatima ya chama chake na yeye kubaki kama mwanasiasa mwenye ushawishi na kuheshimika nchini.

Kuna issue naziona huko mbeleni.
Kampeni zikianza July na yeye akiendelea kusisitiza no election, kukinukisha na kuzuia uchaguzi atapoteza support kubwa sana ndani na nje ya chama. Wengi zaidi wanajitokeza kumpinga.

Serikali inaweza kumkamata kumpa kesi ya kutaka kuvuruga takwa la kikatiba. Wakamweka ndani mpaka uchaguzi uishe. Sioni nchimbi na Samia wakiwa na huruma. Huruma anajua ndiye Rais ajaye hawezi kuchezea hiyo nafasi na Samia sababu hajamaliza kuuza kila rasilimali muhimu.

Baada ya uchaguzi, wanachama wengi wa Chadema watavunjika moyo, sababu hawataweza kuzuia uchaguzi. Mtaji wa kisiasa na ushawishi wa Lissu ndani ya chama chake utakuwa mdogo sana, uasi utaongezeka.

Baada ya October kutokana na kukosa kuungwa mkono itabidi ili aeendelee kuongoza kutumia ubabe, huku akifukuza wanachama wengi wanaompinga au ajiuzulu kwa kukosa support
 
Back
Top Bottom