Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 1,054
- 1,617
- Thread starter
-
- #41
Una maanisha G55 wamekiri hadharani kuwa wanatumiwa na CCM?Kuna ushahidi zaidi ya hao wahusika wenyewe?
Mahakamani ushahidi wa watuhumiwa wanapokubali kuwa wakitumia na fulani kufanya uhalifu unakataliwa?
Wamekiri kwa wanaohusika kuwa kuna fedha imetembezwa kwa Mrema na genge lake toka ccm!! Kama walivyo tubu baadhi ya covid 19 kuwa ccm iliwarubuni !!Una maanisha G55 wamekiri hadharani kuwa wanatumiwa na CCM?
Sisi wananchi tunaamini taarifa zikitoka hadharani na kwa uwazi otherwise zikiwa za ndani bado tunabaki na maswali.Wamekiri kwa wanaohusika kuwa kuna fedha imetembezwa kwa Mrema na genge lake toka ccm!! Kama walivyo tubu baadhi ya covid 19 kuwa ccm iliwarubuni !!
Unataka watubu hadharani sio? Ili iweje?
Nyie chawa bakini na maswali , majibu yamekwisha patikana!Sisi wananchi tunaamini taarifa zikitoka hadharani na kwa uwazi otherwise zikiwa za ndani bado tunabaki na maswali.
Kumbuka VIRUS haina dawa, hawa ni VIRUS, dawa yao ni kuwafukuza tu, ukiwalea wanaweza hata kufanya uhaini, wameshaonesha waziwazi, unataka uone ishara gani ili ustuke?Hali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leaderships character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama kinaweza kuparaganyika zaidi.
Hivyo kwa hali iliyopo kwa sasa ndio itakuwa kipimo sahihi cha kiuongozi kwa Mh. Tundu Antipasi Lissu namna atakavyoweza kurudisha utulivu ndani ya chama kwa kuhakikisha makundi yote ndani ya chama hasa G55 na mengine yanarudi kwenye mstari wa chama.
Swali linabaki, akishindwa kuweka msawazo ndani chama, Je changamoto kubwa za kitaifa ataziweza?
Mungu ibariki Tanzania.
Sawa mkuu. Lakini niweke kumbu kumbu sawa sisi sio chawa ni watanzania tunaolisemea taifa letu.Nyie chawa bakini na maswali , majibu yamekwisha patikana!
Hakuna mahala nimesema wafukuzwe au wasifukuzwe hivyo hakuna cha kunishtua.Kumbuka VIRUS haina dawa, hawa ni VIRUS, dawa yao ni kuwafukuza tu, ukiwalea wanaweza hata kufanya uhaini, wameshaonesha waziwazi, unataka uone ishara gani ili ustuke?
Shida ilianzia kwenye uchaguzi ndani ya chamaKama mbwa na iwe mbwa kudaadeeki. Hawa wote ni wakora na ni wa kufukuziliwa wakafie mbali. Huwezi kakaa na watu walioshindikana ndani ya chama watakifedhehesha. Hakuna muafaka hapa ni kuwatimua chamani tu waende huko watakapovumiliwa utovu wao wa nidhamu
Lissu ameshafeli! Ujue hiyo ni timu ya watu 74 tayari! Na no wagombea potential sana! Wakienda ACT Wazalendo tumekwisha!Hali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leaderships character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama kinaweza kuparaganyika zaidi.
Hivyo kwa hali iliyopo kwa sasa ndio itakuwa kipimo sahihi cha kiuongozi kwa Mh. Tundu Antipasi Lissu namna atakavyoweza kurudisha utulivu ndani ya chama kwa kuhakikisha makundi yote ndani ya chama hasa G55 na mengine yanarudi kwenye mstari wa chama.
Swali linabaki, akishindwa kuweka msawazo ndani chama, Je changamoto kubwa za kitaifa ataziweza?
Mungu ibariki Tanzania.
Bado ana nafasi na muda hajachelewaLissu ameshafeli! Ujue hiyo ni timu ya watu 74 tayari! Na no wagombea potential sana! Wakienda ACT Wazalendo tumekwisha!
waende tu, si wanataka kugombea?Lissu ameshafeli! Ujue hiyo ni timu ya watu 74 tayari! Na no wagombea potential sana! Wakienda ACT Wazalendo tumekwisha!
Mtu mzima hatishiwi nyau. Ccm itende haki siyo kutishiana maisha. Tumesha komazwa na utekaji, kuuawa na kupotezwa. Kilichobaki huku mtaani tutaanza kupotezana ili kulipiza kisasiLissu inabidi atulize kichwa na asikilize ushauri wa watu makini, sio watu tu wanaomsifia tu kwa mustakabali na hatima ya chama chake na yeye kubaki kama mwanasiasa mwenye ushawishi na kuheshimika nchini.
Kuna issue naziona huko mbeleni.
Kampeni zikianza July na yeye akiendelea kusisitiza no election, kukinukisha na kuzuia uchaguzi atapoteza support kubwa sana ndani na nje ya chama. Wengi zaidi wanajitokeza kumpinga.
Serikali inaweza kumkamata kumpa kesi ya kutaka kuvuruga takwa la kikatiba. Wakamweka ndani mpaka uchaguzi uishe. Sioni nchimbi na Samia wakiwa na huruma. Huruma anajua ndiye Rais ajaye hawezi kuchezea hiyo nafasi na Samia sababu hajamaliza kuuza kila rasilimali muhimu.
Baada ya uchaguzi, wanachama wengi wa Chadema watavunjika moyo, sababu hawataweza kuzuia uchaguzi. Mtaji wa kisiasa na ushawishi wa Lissu ndani ya chama chake utakuwa mdogo sana, uasi utaongezeka.
Baada ya October kutokana na kukosa kuungwa mkono itabidi ili aeendelee kuongoza kutumia ubabe, huku akifukuza wanachama wengi wanaompinga au ajiuzulu kwa kukosa support.
Mbinu za kimedani zilizotumika kuizima CUF ya Maalim Seif huko Zenji kwa kukivuruga hicho chama mpaka Seif kukihama Sasa zimehamishiwa kwenye Chadema ya LissuHali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leadership character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama kinaweza kuparaganyika zaidi.
Hivyo kwa hali iliyopo kwa sasa ndio itakuwa kipimo sahihi cha kiuongozi kwa Mh. Tundu Antipasi Lissu namna atakavyoweza kurudisha utulivu ndani ya chama kwa kuhakikisha makundi yote ndani ya chama hasa G55 na mengine yanarudi kwenye mstari wa chama.
Swali linabaki, akishindwa kuweka msawazo ndani chama, Je changamoto kubwa za kitaifa ataziweza?
Mungu ibariki Tanzania.
Maneno ya kijasiri kabisa. Mkiwa watu milioni kama wewe na bunduki mna nafasi ya kuzuia uchaguzi. Mnahitajika milioni kumi.Mtu mzima hatishiwi nyau. Ccm itende haki siyo kutishiana maisha. Tumesha komazwa na utekaji, kuuawa na kupotezwa. Kilichobaki huku mtaani tutaanza kupotezana ili kulipiza kisasi
Mbinu za kimedani zilizotumika kuizima CUF ya Maalim Seif huko Zenji kwa kukivuruga hicho chama mpaka Seif kukihama Sasa zimehamishiwa kwenye Chadema ya Lissu
Siku ya uchaguzi tutalala barabarani ili mtupige risasi mimi na demu wangu. Kuliko kusubiri kutekwa na kuuawa kinyamaManeno ya kijasiri kabisa. Mkiwa watu milioni kama wewe na bunduki mna nafasi ya kuzuia uchaguzi. Mnahitajika milioni kumi.
Utatokea siku hiyo kuzuia na mikono yako, tueleze mbinu utakazotumia. Tunaweza kukuunga mkono.