PreGE2025 G55 & COVID 19, kipimo sahihi cha kumpima Tundu Lissu kiuongozi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lissu ameshafeli! Ujue hiyo ni timu ya watu 74 tayari! Na no wagombea potential sana! Wakienda ACT Wazalendo tumekwisha!
Sasa wanasitasita nini kwenda huko ACT, Unahisi ACT hawana wagombea wategemee hao wasaliti wa CDM?
 
Wewe toa upuuzi wako hapa.


COVID 19 wasipoomba MSAMAHA na wakaelewa NORENE, hawana nafasi Tena CHADEMA .



G-55 Kwa kukiuka MSIMAMO wa Chama, hawana nafasi Tena.


MARIDHIANO yann?? Uchaguzi ulishaisha, na MSHINDI NI LISSU, NA ATAENDELEA KUA MSHINDI TU
 
Siku ya uchaguzi tutalala barabarani ili mtupige risasi mimi na demu wangu. Kuliko kusubiri kutekwa na kuuawa kinyama
Tanzania hatujafika huko na Wala hatuombei tufike huko
 
Mtu anaetoa matusi badala ya kujibu hoja nina assume ana mental illiness so I just 🚮
 
Siku ya uchaguzi tutalala barabarani ili mtupige risasi mimi na demu wangu. Kuliko kusubiri kutekwa na kuuawa kinyama
Kwahiyo wewe kulala barabarani na kuomba kuuliwa au kujiua na familia yako ndiyo italeta reforms Tanzania kabla ya uchaguzi?

Unatakiwa uwe serious kidogo unapojadili mambo serious.
 
Naona G55 mnaanzisha vijiuzi vya kutaka kupima upepo. Msimamo wa chama uko palepale. Sasa hivi chama kiko kwenye operation kali ya NRNE, hakuna muda wa kudeal na nyie mapandikizi ya ccm.
 
Sina hakika. Kama sio busara za Nyerere labda leo tusingekuwa na vyama vya upinzani
Tena hizo busara zake ndio zimetuletea hivi vyama vingi vya maigizo. Angeacha tungepata mfumo wa vyama vingi kiuhakika.
 
L
Lissu yuko anakusanya Nyomi Tunduru mpaka Makalla amekimbilia kusini hiyo Nyomi anayokusanya hakuna anyewakumbuka Covd 19 na hao G55 kiufupi Lissu anajiuza anauzika na pia ana hoja za Msingi mno kiufupi Covid na G55 ndo wanamuitaji Lissu kuliko Lissu anavyowaitaji hao
 
Nyomi kusini sio issue, kwenye mazingira yoyote ya umaskini wa kutupwa sio issue kukusanya watu.

Viongozi wa serikali hawafiki. Hata wewe tangaza mkutano umeruhusiwa na mamlaka na serikali watakuja, watajaa.

Mimi nimejaza nyomi kusaidia viijiji. Kujenga shule, kuweka madirisha hospitalini kusini, kumaliza majengo ya hospitali.

It is actually show extreme sad state of affairs.
 
FROM THE FACTS ON THE GROUND; CHADEMA IMESHAJIZIKA. CHADEMA IS TECHNICALLY DEAD. HAKUNA UPINZANI TENA NCHI HII. CCM HOYEEE!
 
Aisee👿
 
Hivi chama kinaparaganyika vipi kwa kusimamia ajenda za chama?
 
Lissu atatoboa mkuu amini, lissu Yuko na umma always...
 
Hawa G 55 KAMA IKITOKEA REFORMS WASITEULIWE NA CHAMA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA KUGOMBEA UBUNGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…