Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 1,054
- 1,617
- Thread starter
-
- #81
Sawa tuchohitaji ni utulivu tu. Na vyama vilete hoja zenye maslahi kwa taifaL
Lissu yuko anakusanya Nyomi Tunduru mpaka Makalla amekimbilia kusini hiyo Nyomi anayokusanya hakuna anyewakumbuka Covd 19 na hao G55 kiufupi Lissu anajiuza anauzika na pia ana hoja za Msingi mno kiufupi Covid na G55 ndo wanamuitaji Lissu kuliko Lissu anavyowaitaji hao
Alikuwa hataki dunia ituacheTena hizo busara zake ndio zimetuletea hivi vyama vingi vya maigizo. Angeacha tungepata mfumo wa vyama vingi kiuhakika.
Tukikwambia ulete ushahidi wa tuhuma zako utaweza??Naona G55 mnaanzisha vijiuzi vya kutaka kupima upepo. Msimamo wa chama uko palepale. Sasa hivi chama kiko kwenye operation kali ya NRNE, hakuna muda wa kudeal na nyie mapandikizi ya ccm.
ProbablyHamna busara inayozidi katiba
Kama taifa tunahitaji watu wanaojadili mambo serious kwa namna hii? We have long way to go.Wewe toa upuuzi wako hapa.
COVID 19 wasipoomba MSAMAHA na wakaelewa NORENE, hawana nafasi Tena CHADEMA .
G-55 Kwa kukiuka MSIMAMO wa Chama, hawana nafasi Tena.
MARIDHIANO yann?? Uchaguzi ulishaisha, na MSHINDI NI LISSU, NA ATAENDELEA KUA MSHINDI TU
Hapo ndiyo ukomo wa fikara zako?Solution ni kuwatimua uanachama wakagombee chama kingine
Uko wapi nikuletee ushahidi?Tukikwambia ulete ushahidi wa tuhuma zako utaweza??
Respect others opinions without insulting them.
Chadema imesha ingia miyooni mwawananchiuchaguzi uliisha hao gorillas55 upande wao ulishindwa wanatakiwa wawaumge mkono upande ulioshinda kikatiba,sasa inaonekana chadema inawenyeviti wawili mmoja anakipgania chama hadharani mwingine nyuma ya pazia kwa masilahi ya ccm,sasa wajiandae kwa lolote hatua walioyofikia ni katiba itasema kwa watu kama hao,magu aliwanunua wapizani wengi hasa chadema na chama bado kipo,hata bilao chama kitasonga mbele tu kwani nini
Weka hapa huhitaji kona Kona.Uko wapi nikuletee ushahidi?
Ww ni mahakama?Weka hapa huhitaji kona Kona.