PreGE2025 Tetesi: G55 kuzunguka nchi nzima juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa leadership ipi
 
Wakiridushwa ktk uongozi watakuja no reform no election. Siasa za bongo kizungumkuti. Huyu mrema si ndio aliokuja ktk media wakati wa mbowe na slogan kama mbele ya media kama Mkurugenzi habari?
Bora mimi nilivyojikita ktk uislam.
Alfajir swala, adhuhuri swala, Alasir swala, magharibi Swala, na Inshalla swala, awepo Imam au asiwepo ni swala tu, msikiti ukifungwa naswali kibarazani. Akitokea Imam kusema leo tusiswali yeye hajala tunamuondoa kibla anaswalia mwengine mambo yanaenda
 
Ukumbuke kwa mazingira ya Africa hasa Tanzania chochote kinawezekana!! COVID-19 wako bungeni kwa uhalali gani? Hivi nyie watu mna fikra sawa sawa kweli?
Sasa wewe unataka haramu? Hata kama watapewa escort Bado hawana mvuto kwenye jamii.
 
Ukumbuke kwa mazingira ya Africa hasa Tanzania chochote kinawezekana!! COVID-19 wako bungeni kwa uhalali gani? Hivi nyie watu mna fikra sawa sawa kweli?
Kwahiyo viongozi wa chama au chama cha CHADEMA wafuate utaratibu isiyo halali kisa tu chochote kinaweza kutokea hapa Africa? Nyie mnaojiita wazee ndiyo mnasababisha upumbavu wa namna hii.

Chama kinaitisha vikao vyao kila baada ya muda gani? Kataa au ukubali hao wanaojiita G55 ni wapumbavu kama wanaowapa sapoti wamejaa tu tamaa ya kutaka uongozi.
Chadema wakukubali kuingia kwenye uchaguzi watakaoshinda ni wale Rais atapenda watangazwe ila siyo watakaokuwa wamechaguliwa na wananchi.
 
Wanatafutwa kupigwa mawe na wananchi..!!
acha uchochezi na upotoshaji wanasiasa wanapotumia haki na uhuru wao wa kujieleza na kuamau uelekeo wa siasa zao my lady
 
G55 Waitwe wasikilizwe hoja zao na kisha mkutano mkuu uitishwe kuipitia tena upya uamuzi kama ni lazima. Busara na hekima itumike. muhimu Mbowe yuko upande gani? au alikabidhi chama kinyonge si alisema demokrasia ya uchaguzi imelindwa na chadema na dunia iliona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…