wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 583
- 908
Dunia inahitaji watu wenye maono na uwezo wa kusimamia issues kama lissu na kina mahufuli vinginevyo dunia isingekuwa apa ilipo uwe unasoma historia kijanaTatizo Lissu mbishi sana, na hakubali ushauri wa kushindwa
Amna alieteseka anatakiwa aseme vitu vinavyo elewekaKm makelele ya bure mbona mnateseka?
Hawa majamaa watakavhokutana nacho watashangaa sana. Kiufupi hawa majamaa ni program ya CCM.View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Ndo watu anao wategemea Hawa ukiuliza vtu vinavyo eleweka unaonekana chawa ndo tatizo la unyumbu HiloKahudhurie mikutano ya babu wasira ndiyo size yako chawa wewe
Watalindwa sana na Polisi na UVCCMWanatafutwa kupigwa mawe na wananchi..!!
Yaani hawa wanadhani hatuna akili sio? Kwa vile ni Lissu kasimamia maazimio ya chama basi wanataka agenda isiyopendwa na ccm ndio walale nayo yombo ili wapate maokoto sio? Tunazo kumbukumbu.Unalaumu uongozi mpya kwa lipo?. Wao wanatekeleza maamuzi ya Mkutano Mkuu wa 20 January 2025. Hao wanalalamika waliulizwa kama Wana maoni wakakaa kimya kwenye Mkutano Mkuu, Leo mgombea wao kashindwa ndipo wanaanza kutoka ushauri.
Wanataka kufanya kazi ya CCM ,si wavae na sare zao kabisa, ila kitakacho wakuta hawatasahauWanatafutwa kupigwa mawe na wananchi..!!
Watazomewa na kupigwa mawe, ila watalindwa na Polisi na CCM.View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi.
Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Polisi wenyewe hawawakubaliWatalindwa sana na Polisi na UVCCM