G7 waazimia kuongeza jitihada baada ya Urusi kuanza kushambulia uraiani

Viongozi karibu wote wa Ulaya ni vibaraka wa Marekani. Wamepitishwa kwa msaada wa Marekani ndio maana wanashindwa kumsaliti mfadhili wao japo wanaona chumi zao zikianguka.

Ukweli raia hawataki NATO kabisa ndo maana maandamano hayaishi.
Ngoja Decemba ifike kutanuka
 
Putin ni kichaa kama vichaa wenzie weny chuki kisa wamekosa ajira
 
Duh raia gan waliuliwa na leo wanaipigania nchi yao au wao kuuliwa wanapenda ? kabla ya uvamiz wa Urusi huko Crimea uliwai sikia uasi ndan ya Ukraine ? after sinamia haki maana wote hawakusaidii chochote
 
kwa akili yako kama mbuz , jeshi gan linaeza tumia hako kagari kadg kupigana na jeshi namba mbili duniani pia kwann Urusi aingie kiev , hv yeye wakimwingilia Moscow ataona ni sawa ?
 
Kenge kwa kuwa sio msikivu,hahitaji kuhurumiwa ,aanze kujihudumia mwenyewe kwaanza ndipo ahurumiwe[emoji1732][emoji1732]
ni aibu jeshi namba mbili duniani kupigana na kanchi kadogo na kushindwa kudili za military bases badala yake anarusha mabomu hovyo
 
Daraja la Crimea ilikuwa military installation? Acha wapigwe kwa ugaidi walioufanya Crimea.
Crimea ipo nchi gan ? niletee ramani nione , piq jeshi la Urusi linafanya nn kuanzia Crimea kuja Kiev , unawezaj kutaka kuitoa serikali iliyochaguliwa na wananchi ? Putin anataka alete udikteta wake huku ukraine wkt wenzake washastarabika wametoka huko kitambo
 
yaan Marekan ndo mchochez , ila yule alieaswa asivamie akasem anafanya mazoez tu badala akavamia kwel bado akaombwa akae mezan azungumze ila hakusikia , huyu ni mwema sana , UKOSEFU WA AJIRA UNATUZALISHIA VICHAA MTAANI
 
Putin ni kichaa kama vichaa wenzie weny chuki kisa wamekosa ajira

Jamaa anapiga mzinga kwenye bembea za watoto kisa ameshindwa kwenye frontline.
Kuna taarifa nimesoma sehemu, alipiga mizinga 84, ila 43 ikapanguliwa yote kisa ililenga maeneo ya kijeshi, ndio jamaa wakapata hasira wakaelekezwa kwa raia.

 
Mataifa 7 yanayo muogopa mrusi! Kweli mrusi ni balaa yani mataifa 7 yanaungana kumjadili?

NB: Hapo sijagusia NATO, umoja wa mataifa 30 maoga yanayo muogopa mrusi.
ndio maana mwizi huwa mnamkimbiza wengi kwa vile hamumuogop , ila upuuz wa Urusi ni kosa kumuonya , UKOSEFU WA AJIRA UNATUZALISHIA VICHAA WENGI MTAANI
 
Mkuu nahisi unafuatilia sana main stream media tena zenye mlengo wa west ndo maana unakosa taarifa kwamba kambi za jeshi la Ukrain zinakula kichapo Cha mbwa mwizi. Waziri wa ulinzi huwa anatoa updates kila siku, the main target huwa ni hizo kambi na target kuu ni zile ambazo zina mercenaries...so kusema urusi wanaogopa kambi za jeshi siyo kweli
 

Mizinga ilipigwa 75, ila yote iliyoelekea kwenye kambi za kijeshi ilipanguliwa yote ndio Warusi wakapata hasira na kuanza kupiga hadi bembea za watoto, ni aibu sana mnatumia nguvu nyingi zote hizo kutetea mauaji ya wasio na hatia, sijui kwanini dini yenu huwa na kasoro kihivyo...

 
Unafanya makosa kuhusisha uislamu katika huu mzozo,Putin na vingozi wenzie ni Waislam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafanya makosa kuhusisha uislamu katika huu mzozo,Putin na vingozi wenzie ni Waislam?

Sent using Jamii Forums mobile app

ila waislamu mnashabikia mauaji na maukatili ya Putin mkidhani mnakomoa Marekani ila mnajidanganya.....mtaishia aibu tu maana yana mwisho, hauwezi ukawaua watu wote wa Ukraine.....
Huyo huyo Putin kuna wakati aliwanyoosha sana waislamu, nashangaa leo mnajitoa ufahamu kizembe hivi.
 
Waaache maneno wapeleke majeshi yao yakapigane mstari wa mbele vitani.
Mkuu adui alikuwa Kyiv akatolewa na kurudi zake donbas huko ndo anamaliziwa hiyo ya juzi ni panik baada ya kuvunjwa hilo daraja, mizinga 83 kaua 19, most of them were un target, ni weakens za jamaa yako putin sasa G7 hii Putin amepiga ndimu mzinga wa nyuki mwisho wa putin unakaribia
 
Kuna watu mna mapenzi makubwa sana na mzee Putingo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…