G7 waazimia kuongeza jitihada baada ya Urusi kuanza kushambulia uraiani

Shoga Zelensky aliingia kwenye hio nafasi kwa mapinduzi yaliyofadhiliwa na hao wamagharibi, safari hii anatolewa hapo anapandikizwa kibaraka wa mrusi
 
Hakuna kitu naombea kama Iran na Saudia wakae meza moja! Naomba ili jambo lifanyike tena kwa haraka sana na liwe na matokeo chanya
 
Ajabu
Ajabu ni kwamba Ukraine ni kubwa 603,700 km² zaidi Iraq yenye 438,317 km² lakini ulivyo mshamba hukuona shida yoyote kwa Marekan mweye 9.834 million km² alipoenda kuivamia Iraq akishilikiana na mataifa ya Ulaya.
 
Hakuna kitu naombea kama Iran na Saudia wakae meza moja! Naomba ili jambo lifanyike tena kwa haraka sana na liwe na matokeo chanya
Hao wameshapatana.
Furaha ya US ni kuona chi za kiarabu hazipatani Ili auze silaha zao. Urudi ameamua kuingilia kati, hataki ushuzi wa watu fulani kumiliki hatima na uelekeo wa dunia. So ameanza kupatanisha nchi zenye mafarakano
 
Hao wameshapatana.
Furaha ya US ni kuona chi za kiarabu hazipatani Ili auze silaha zao. Urudi ameamua kuingilia kati, hataki ushuzi wa watu fulani kumiliki hatima na uelekeo wa dunia. So ameanza kupatanisha nchi zenye mafarakano
Nitashukuru sana, jana yenyewe nilifurah ugen aliopata Putin na nilitoa maoni yangu kupitia twiter nikiwaandikia ubalozi wa Russia juu ya jambo hili
 

Wakati mwingine unazungumzaga mambo gani lakini??? Nani ambaye hajui kwamba jiji la Kiev linalindwa na air defense systems za Merikani - je,juzi asubuhi zilifanikiwa kutungua missiles ngapi za Urusi, yaani mnachekesha sana, mnajua sana kujifariji hamuoni hata aibu!!

We fikiria mpaka Ikulu inashambuliwa pamoja na ofisi kuu ya kitelijensia nayo inashambuliwa - kwa kifupi Ofisi za kitovu cha Serikali ya Zelensky zinatiwa kiberiti na missiles mahili za Putin halafu wewe unatuletea mambo yako ya ngu-fye-fye-fye Putin this Putin that - my foot!!

Tuliwa onya mara nyingi hapa kwamba jeshi la Urusi sio la kuchukulia kimzaa mzaa bahati mbaya hamukuelewa somo - sasa Zelensky akiendeleza ujinga wake wa kutaka kumtunishia muscles "Ivan the terrible" kitakacho fuata ni "shock and awe" ataishia yeye na familia yake yote kukimbilia uhamishoni akibahatika kunusuru roho yake.
 


Hao G7 ni wehu tu, kwani wao wanachukulia vita ya Ukraine na Urusi ni halali iwapo Majeshi ya nchi hizo yatakabiliana??!, mbona vikwazo kwa urusi baada ya hiyo operation Vimekuwepo??!--- kwao Ukraine akivunja miundo mbinu ya Russia ni halali lakini Russia akivunja miundo mbinu ya Ukraine ni ukiukaji wa taratibu za vita!!🤣🤣
 

Ukraine wamepokea kifaa cha kwanza, kitasaidia pakubwa dhidi ya mashambulizi ya uraiani, ili turudi kwenye frontline, Mrusi anabinywa kote.
 
Ajabu

Ajabu ni kwamba Ukraine ni kubwa 603,700 km² zaidi Iraq yenye 438,317 km² lakini ulivyo mshamba hukuona shida yoyote kwa Marekan mweye 9.834 million km² alipoenda kuivamia Iraq akishilikiana na mataifa ya Ulaya.

Mahaba ya kidini yanakupofusha unashindwa kuona picha na kuielewa, iangalie tena upate aibu....

 

mabomu yalitupwa 75 ila yakapanguliwa 41 ambayo yalilenga sehemu nyeti, maeneo ya uswazi hayakua yamelindwa, Ukraine hawakujua kwa mlivyo waoga mtashambalia hata bembea za watoto, ila kifaa cha kwanza kimewasili, mtabinywa kote, ili turudi frontline huko mnako pakimbia kama ukoma...

Ona mlivyo waoga mnafuata watoto kwenye bembea..

 

Bwana akbar akar umetoweka, turudi frontline acheni kuhangaika na uswazi, kuna vifaa vimekuja kulinda huko.
 
Sasa kwanini NATO iliundwa kama hawamuogopi mrusi? Na kwanini hawa g7 wamekutana tena kwa dharura kama kweli hawamuogopi mrusi?

Wanakutana kujadili namna ya kulinda vitaifa vidogo ambavyo vinanyanyaswa na Urusi, mwambieni huyo Urusi akosee njia ashambulie kataifa kadogo mojawapo wa mwanachama wa NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…