msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 253
- 302
asa hua ndo uanaume. unampiga mtu na unampa silahaTatzo pro rusia wengi Wana uelewa mdogo. Kama rusia ni mbabe si akatae kuwauszia kama. Anajitisheleza. Make NATO na USA wao hua wanakupiga burn. Hawakuuzii kabisa. Rusia anabweka lkn anawauzia. Si akatae ili tuone ubabe wake.
Tambua kua uchumi wa Russia ni mdogo mno. Putin akili yote. Uwezo wote kawekeza kwenye jeshi. Hahangaiki kuimarisha uchum
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Acha ujuajiHununui mafuta alafu bado Una nunua gesi kutoka kwake kweli western mwaka huu wamepatikana unanunua ngano, mafuta ya Kula, makaa ya mawe, gesi si angeacha kununua vyote tuone kama wao ni jeurii sana
Angalia hii tikiti Japan nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa dunia baada ya US na chinaHivi Japan alijikutaje humo..?[emoji23]
Huko ndo kuingia mkenge Sasa!!
Venezuela, Iran, Libya, IraqVenezuela afu ropoka tena
Kwanini Urusi isikataze kuuza chochote hadi G7 wakatae wenyewe tena kwa kuamua kua kitu flani hatununui,Urusi iwe siriasi.Hununui mafuta alafu bado Una nunua gesi kutoka kwake kweli western mwaka huu wamepatikana unanunua ngano, mafuta ya Kula, makaa ya mawe, gesi si angeacha kununua vyote tuone kama wao ni jeurii sana
Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022.
Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa mtandaoni jana Mei 8, 2022 kwa kuwa wanalenga moja ya chanzo kikubwa cha Urusi kuingiza mapato.
G7 ambayo inajumuisha Nchi a Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani imefanya kampeni hiyo ili kummaliza nguvu Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
“Hii itakuwa na athari kubwa kwa uchumi wa Rais Vladimir Putin na kumnyima mapato anayoyahitaji kufadhili vita vyake,” inaeleza kauli ya G7 baada ya mkutano kwa njia ya mtandao.
Baada ya mkutano wao huo pia walipata nafasi ya kuzungumza na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ambapo wlaimjulisha juu ya mipango yao hiyo.
..................................................................................................
Leaders of the Group of Seven have committed to phasing out their countries’ dependency on Russian energy as they announced fresh sanctions as part of an “unprecedented” package of coordinated sanctions to punish Russia over its invasion Ukraine.
After meeting virtually with Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy on Sunday, the leaders also pledged to “elevate” a campaign against Russian elites who support President Vladimir Putin.
The latest show of support for Ukraine comes as Russia prepares to celebrate the defeat of Nazi Germany during World War II.
Putin is expected to preside on Monday over a parade in Moscow’s Red Square of troops, tanks, rockets and intercontinental ballistic missiles, making a speech that could offer clues on the future of the two-month old conflict.
Source: Aljazeera
Ninataka kuona hii ligi. Je, ni mafuta tu au na gesi pia? Mbona wanachagua?Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022.
Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa mtandaoni jana Mei 8, 2022 kwa kuwa wanalenga moja ya chanzo kikubwa cha Urusi kuingiza mapato.
G7 ambayo inajumuisha Nchi a Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani imefanya kampeni hiyo ili kummaliza nguvu Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
“Hii itakuwa na athari kubwa kwa uchumi wa Rais Vladimir Putin na kumnyima mapato anayoyahitaji kufadhili vita vyake,” inaeleza kauli ya G7 baada ya mkutano kwa njia ya mtandao.
Baada ya mkutano wao huo pia walipata nafasi ya kuzungumza na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ambapo wlaimjulisha juu ya mipango yao hiyo.
..................................................................................................
Leaders of the Group of Seven have committed to phasing out their countries’ dependency on Russian energy as they announced fresh sanctions as part of an “unprecedented” package of coordinated sanctions to punish Russia over its invasion Ukraine.
After meeting virtually with Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy on Sunday, the leaders also pledged to “elevate” a campaign against Russian elites who support President Vladimir Putin.
The latest show of support for Ukraine comes as Russia prepares to celebrate the defeat of Nazi Germany during World War II.
Putin is expected to preside on Monday over a parade in Moscow’s Red Square of troops, tanks, rockets and intercontinental ballistic missiles, making a speech that could offer clues on the future of the two-month old conflict.
Source: Aljazeera
Na vikwazo vingekua vinaua,Leo hii north Korea,Cuba,Iran na Venezuela zingekua zimekufa.
Urusi inabidi baada ya huu mgogoro aungane na uchina uisaidia afrika isimame kiuchumi na kupata back up ya kutosha maana mataifa yaliyobakia tayari yameanza kupata mbavu mdogo mdogo imebakia tu afrika.
Afrika iache kujitazama kama mataifa madogo madogo bali kama taifa moja kubwa na mataifa madogo kama mikoa au majimbo.
Ni muda muafaka sasa wa kuvimbia mataifa ya kimagharibi wanapokuja na sheria au hoja zao za kulazimishia.
Mataifa ya magharibi yakiongozwa na mnafiki namba moja US yamekuwa kikwazo kikubwa sana cha maendeleo ya kiuchumi kwa mataifa changa kama Tanzania na wengineo kupitia sera zake ambazo huwa na maneno matamu ila matokeo yasiyo na faida siku za mbeleni.
Hichi sicho nilichomaanisha ndugu.Angalia hii tikiti Japan nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa dunia baada ya US na china
Kupiga burn ndio nini?Sasa kama kabipanga si awapige burn ya ges na mafuta. Anajua kabisa NATO kapeleka silaha. Lkn bado unamuumzia ges na mafuta na mbolea. Si umpige burn kama wew ni mwanaume.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Solomon island china inataka kujenge base ya kijeshi Kwa nini USA na AUS hawatishii kumpiga China bali Solomon, China kwa sababu ndio anamshiwishi?.Unafahamu chanzo cha mzozo huu? Si Russia hataki Ukraine ijiunge na NATO akihofia military base kujengwa Ukraine hasa military base ya US?
Sasa kwa mfano huohuo uliotoa, wa NATO kwenda kuingia mazima Ukraine na kumtoa Putin, umejiuliza kwanini Putin yeye asimpige US ambae ndie anamshawishi Ukraine?
Putin hakutoa onyo kwa taifa litakalosaidia Ukraine kuwa atayaangamiza? Niambie nchi gani ambayo haifahamiki kama inaisaidia Ukraine. Poland amepeleka vifaru ndani ya siku mbili tatu, na ni jiran tu hapo, bado finland n.k uko UK, US, German ndo kabisaaa sasa kwanini asitekeleze kiapo chake?
Hii ni vita, na mpaka inatokea hivi ujue kuwa kuna intelligence zilifanya kazi kwa kujiandaa na matukio haya, NATO walijua ipo siku moto utawaka dhidi ya Russia, na Russia alishajiandaa ipo siku moto utawaka dhidi ya NATO. Sasa hapo unaposema kwanini wasiweke vikwazo dhidi ya gas na mbolea, ni suala la muda tu. Kumbuka nimekwambia kuna taasisi mbili hapo zinachuana.
Unajua mali za mabosi wa russia zilizoshikwa huko nje? Hasara Russia alopata Ukraine umefatilia? Russia angekuwa yeye anajua ameshika maisha ya NATO hata kwa 80% tayari na yeye angeshatia vikwazo kwa NATO.
Kitendo ch Putin kutoa tamko la kuzima vyombo vya habari kuripot mambo negative kuhusu operation, kumefanya mambo mengi ya ajabu yanayotokea russia yasifahamike moja kwa moja, ila huko pia mambo ni mabaya. Moscow imepoteza ajira 200,000, laki mbiliiiii baada ya mataifa ya NATO kufunga makampuni yao hapo.
Ni upunbavu tu wa kuwapumbaza Ukraine hakuna chamaana hapo , unaposema nataifa ya nato yameweka vikwazo ndio hayo hayo yapi G7 ,Kama Ujeruman ufaransa hawawez kuishi bira ges na mafuta ya mrusi kwahiyo wabachofanya kuchukua tension mitandaoni hakuna uhalisia ktk utekelezaji ,watanunu tena kwa ruble [emoji3][emoji3][emoji3]Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022.
Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa mtandaoni jana Mei 8, 2022 kwa kuwa wanalenga moja ya chanzo kikubwa cha Urusi kuingiza mapato.
G7 ambayo inajumuisha Nchi a Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani imefanya kampeni hiyo ili kummaliza nguvu Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
“Hii itakuwa na athari kubwa kwa uchumi wa Rais Vladimir Putin na kumnyima mapato anayoyahitaji kufadhili vita vyake,” inaeleza kauli ya G7 baada ya mkutano kwa njia ya mtandao.
Baada ya mkutano wao huo pia walipata nafasi ya kuzungumza na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ambapo wlaimjulisha juu ya mipango yao hiyo.
..................................................................................................
Leaders of the Group of Seven have committed to phasing out their countries’ dependency on Russian energy as they announced fresh sanctions as part of an “unprecedented” package of coordinated sanctions to punish Russia over its invasion Ukraine.
After meeting virtually with Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy on Sunday, the leaders also pledged to “elevate” a campaign against Russian elites who support President Vladimir Putin.
The latest show of support for Ukraine comes as Russia prepares to celebrate the defeat of Nazi Germany during World War II.
Putin is expected to preside on Monday over a parade in Moscow’s Red Square of troops, tanks, rockets and intercontinental ballistic missiles, making a speech that could offer clues on the future of the two-month old conflict.
Source: Aljazeera
Sio kutoa report negative sema West nao wanataka wananchi wao wasikie yale wanayoyataka wao juu hili ili kusiwe na paniki miongoni mwao.Sijui watu tatizo ni shule au ni nini, kwani kati ya muuzaji na mnunuzi, anayemhitaji mwenzie zaidi ni nani? Si anayeuza? Tafsir ya kuuza ni kwamba wewe una uhitaji, usipokuwa na uhitaji huwezi kuuza.
Russia ktk hili ndio muathirika zaidi, ni vile tu nchini kwake vyombo vya habari vyote vimezimwa kutoa ripoy negative ktk hii inayoitwa operation.
Hawa vijana wanaojiita mashabiki wa putin wanapaswa kutazama hili sakata kwa mapana.
Japan ina uchumi mkubwa sana, Japan mda mrefu alipiga hatua ya Tecnolojia ila USA mara baada kuipaga na Atomic Bomb pale Hiroshima ndiyo wakaingia mikataba kuwa asiendeleze siraha zake mpaka apate idhini ya USA.Hivi Japan alijikutaje humo..?[emoji23]
Huko ndo kuingia mkenge Sasa!!
Putin ameshazamisha kitu kizito nyuma yao wanaimba tu sshvMataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022.
Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa mtandaoni jana Mei 8, 2022 kwa kuwa wanalenga moja ya chanzo kikubwa cha Urusi kuingiza mapato.
G7 ambayo inajumuisha Nchi a Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan, Uingereza na Marekani imefanya kampeni hiyo ili kummaliza nguvu Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
“Hii itakuwa na athari kubwa kwa uchumi wa Rais Vladimir Putin na kumnyima mapato anayoyahitaji kufadhili vita vyake,” inaeleza kauli ya G7 baada ya mkutano kwa njia ya mtandao.
Baada ya mkutano wao huo pia walipata nafasi ya kuzungumza na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ambapo wlaimjulisha juu ya mipango yao hiyo.
..................................................................................................
Leaders of the Group of Seven have committed to phasing out their countries’ dependency on Russian energy as they announced fresh sanctions as part of an “unprecedented” package of coordinated sanctions to punish Russia over its invasion Ukraine.
After meeting virtually with Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy on Sunday, the leaders also pledged to “elevate” a campaign against Russian elites who support President Vladimir Putin.
The latest show of support for Ukraine comes as Russia prepares to celebrate the defeat of Nazi Germany during World War II.
Putin is expected to preside on Monday over a parade in Moscow’s Red Square of troops, tanks, rockets and intercontinental ballistic missiles, making a speech that could offer clues on the future of the two-month old conflict.
Source: Aljazeera
Nafahamu uchumi wa Japan ni mkubwa swala naloshangaa huyu mu Asia kaingiaje mkenge huko mbona wa Asia wenzake wanakariba tofauti sana! Au palipandikizwa nini..😅Japan ina uchumi mkubwa sana, Japan mda mrefu alipiga hatua ya Tecnolojia ila USA mara baada kuipaga na Atomic Bomb pale Hiroshima ndiyo wakaingia mikataba kuwa asiendeleze siraha zake mpaka apate idhini ya USA.
Ukiangalia mfumo aliujenga Marekani ni kuwa mataifa yawe yanamtegemea yeye! Yeye anaweza unda siraha zozote bila kuulizwa na mtu na asifatiliwe ila wakiunda wengine hataki cos anaona kabisa ikosiku mtakorofishana na utamchapa nazo, ila siraha zako zikiwa hafifu anajua utamhofia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo pro rusia wengi Wana uelewa mdogo. Kama rusia ni mbabe si akatae kuwauszia kama. Anajitisheleza. Make NATO na USA wao hua wanakupiga burn. Hawakuuzii kabisa. Rusia anabweka lkn anawauzia. Si akatae ili tuone ubabe wake.
Tambua kua uchumi wa Russia ni mdogo mno. Putin akili yote. Uwezo wote kawekeza kwenye jeshi. Hahangaiki kuimarisha uchum
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Labda japani yupo kwenye g7Nafahamu uchumi wa Japan ni mkubwa swala naloshangaa huyu mu Asia kaingiaje mkenge huko mbona wa Asia wenzake wanakariba tofauti sana! Au palipandikizwa nini..😅