G7 yapiga marufuku ununuzi wa mafuta Urusi

Mahitaji ya mafuta yataendelea kupungua duniani kutokana na kuongezeka kwa teknolojia bila kujali swala la Russia na Ukraine na ndio maana mataifa ya kiarabu tayari yameanza kujipanga.

Kufikia mwaka 2035 Ulaya, Marekani, Canada, Japan na Australia watapiga marufuku utengenezaji wa magari yote yanayotumia nishati ya mafuta.

Hivyo mataifa yanayotegemea mafuta kama njia kuu ya kujiingizia mapato yatakuwa na wakati mgumu sana kwani mapato yao yataporomoka.

Magari yanakuja ya kutumia nishati ya umeme na jua na pia majumbani umeme wa jua ndio utakaotumika na kupelekea makampuni kama Tanesco kufa.
 
Nyie watu ban
Hv hapa DUNIANI kuna nchi yenye bajeti kubwa kwenye ulinzi na usalama kama US ipo!!?
Hv VIKWAZO mnavyosema vinadumaza nyue mmeekewa vikwazo gani mbna mnamaisha magumu kulilo waloekewa vikwazo umewahi kukanyaga IRAN kama IRAN inavikwazo ile sibora nanyie muombe kuekewa pengine mtapata bahati yakua kama wao
Sijui upo nchi gani hapa AFRIKA ila nikwambie huizidi chochote hapo nchini kwako IRAN yenye vikwazo kwenye angle yeyote ya KIUCHUMI
Yaani mmekua wahanga wa PROPAGANDA mpaka tunawaonea huruma
Nachelea kusema hakuna nchi ya AFRIKA inayoizidi IRAN hii nnayoijua mie KIUCHUMI labda labda SA pekeao tena labda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MPAA tufike 2035.mtasema ikifika 2055 bila oil hamna maendeleo we hujui Oil Ina mambo mengi sana si mafuta tu kama unavyo fikiria. Gas ndio imekuja kuanza kutumika afu unasema ikifika 2035 basi Tena.
 
Kweli Tanzania elimu yetu inahitaji mageuzi makubwa. Nadhani ushabiki wako wa ushoga umekufanya kuandika utumbo huu...!!!
Wakiacha kununua mafuta ya Russia,tegemea wizi wa mafuta na mauaji(vita) ya kutisha kwenye nchi zenye mafuta. Hao ni mashetani wasiojali. Tatizo Russia hawawezi mletea ubabe. Mtokoma ninyi mnaowaona miungu watu.

Na ukumbuke, kuna bidhaa ukiwa nayo, wewe ndio utatafutwa na wateja. Sio kutafuta wateja.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kama urussi ana jeuri angegoma kuwauzia hizo bidhaa nchi za magharibi.

Yani watu wakuwekee vikwazo, washike Mali yako, wamsaidie na silaha adui yako alafu kisha bado unafanya nao biashara.

Hapa urussi kashikishwa ukuta
Wewe ushawahi kubembelezwa ununue unga wake au unanunua kwa shida zako mwenyewe? Kama kweli jeuri agome kununua kama hajafa njaa
 
Nchi zote haziaminiani. Italy kuna maandamano , Ujerumani upungufu wa chakula ,

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Hili la GERMAN 100% niukweli mtupu leo nlikua na jamaa yangu alikua huko GERMAN
Huyu bwana hana team yeyote nikamuuliza tu kwenye kumdadisi akasema now changamoto ughali wa maisha na ukosefu wa huduma muhimu hasa kwenye kula
EU ipo matatani(naamini hv haya sio mawazo yahuyo bwana hapana niyakwangu kutokana namaelezo yake mengi aliyonipa ila acha tuzidi kuona)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahah G1 mnyama kutoka Kremlin anawapeleka mputa mputa hao machoko wa NATO
 
Mteja ndio mfalme ,hili halina mjadala. Putin bila mteja atavimbiwa kwa kunywa mafuta anayozalisha.
 
Sasa kipindi hiki si ndiyo Mama aagize Mafuta kutoka Urusi moja kwa moja, maana wanunuzi wengine wamesusa kwa sababu zao binafsi,na soko litakua chini kidogo!!?
Urusi ndio mafuta ya bei chei sana India wenzetu wamekimbili huko af Urusi kihistoria ni jamaa zetu hatunaga noma nao the same as China😅
 
Urusi ndio mafuta ya bei chei sana India wenzetu wamekimbili huko af Urusi kihistoria ni jamaa zetu hatunaga noma nao the same as China😅
Dynamics za soko, demand ikupungua lazima bei inashuka . Sisemi mimi, kanuni za soko.
 
Akiya Channel Africa mbona soko litakuwepo la kudumu milele daima
Bora achanel to huku Africa,Mambo ya kuchagulina Marafiki au Maadui ni Mambo ya kizamani! Kama mmeaamua kupigana vita hiyo ni kimpango wenu,Mimi Kama nina shida ya Mafuta nitanunua kwa yoyote yule aliye nayo tena kwa bei nzuri tu!!
 
Wanapiga marufuku hadharani halafu wanapita mlango wa nyuma wanayanunua 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…