Gaidi aliyetaka kuangusha ndege ya flydubai ni mtu anayeswali muda wote!


Kwa nini unatoa mfano wa Marekani?

Marekani ndiyo mfano wa nchi isiyo na udini? Mbona Marekani ina udini sana tu?

Hiyo Marekani unaielewa historia yake, mifumo yake ya sheria, na udini uliopo katika mifumo yake?

Unaelewa Marekani si majimbo yote yana hukumu ya kifo?

Unaelewa hiyo hukumu imetolewa jimbo la Tennessee? Unaelewa hilo ni jimbo lenye wahafidhina wa kidini wengi?

Kwani Marekani ndiyo nchi ya mfano ya watu wasioamini dini?

Mbona Marekani ni kati ya nchi yenye wahafidhina wengi wa kidini?

Unaelewa kuwa kuna wahafidhina wengi sana mpaka kwenye Supreme Court ya Marekani wanaoamini kuwa Marekani imeanzishwa na inatakiwa kuendeshwa kwenye misingi ya Kikristo?

Ushawahi kumsoma mtu anaitwa Justice Antonin Scalia?

Marekani ni nchi yenye wahafidhina wenye mawazo ya kidini kibao, na wengi wanaamini nchi yao inaendeshwa kwa misingi ya Kikristo, na hiyo hukumu wanaihalalisha kwa kufuata misingi ya hukumu za jino kwa jino za Ukristo.

Huelewi wapi?

Zaidi, unapouliza wanatumia dini gani,
kwa nini watumie dini?

Ule ni mfumo wao wa kimahakama kumhukumu muuaji.

Sasa unafananisha mfumo wa kimahakama kumuua muuaji, na mhafidhina gaidi anayetaka kuua watu wasio na hatia?

Unajua hata jinsi ya kulinganisha wewe, au dini ineshakuharibu akili na wewe?

Soma muhtasari hapa (Meta AI).

Question.

Did Scalia believe that the US was founded on Judeo-Christian principles?

Answer.

Yes, in the accommodationist sense - though he framed it as a historical and legal tradition, not just a personal belief.

Justice Scalia consistently argued:

1. The American tradition allows government to favor religion over non-religion.

He said there is "no place" in the constitutional tradition for the idea that the state must be neutral between religion and its absence. The neutrality the framers intended, he said, "is not neutrality between religiousness and non-religiousness; it is between denominations of religion." 1d48

2. The Ten Commandments and God are part of that tradition.

He wrote that displays of the Ten Commandments around the Supreme Court and government buildings establish an understanding "that the Ten Commandments are a foundation of the rule of law, and a symbol of the role that religion played, and continues to play, in our system of government." 28d3

In oral argument he put it more directly: when people see such a monument, it's "a symbol of the fact that government comes - derives its authority from God. And that is, it seems to me, an appropriate symbol to be on State grounds." b493

3. Public honoring of God is part of why he thought America succeeded.

In a 2014 speech at Archbishop Rummel High School, he said:


He also argued in dissent in McCreary County v. ACLU that publicly honoring the Ten Commandments is indistinguishable from publicly honoring God, and that because Christianity, Judaism and Islam - "which combined account for 97.7% of all believers" - all believe the Commandments were given by God, such honors "cannot be reasonably understood as a government endorsement of a particular religious viewpoint."
 
Q5:51 Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu.
(Tarjuma ya Muhsin)
Imagine mafundisho kama haya
Worst part Muslims tunajisifu Quran haibadiliki…. But mafundisho kama
Haya ni kuondoa kabisa kwenye hiko kitabu
Yana incite hates na uadui

It is a shame kwa dunia ya sasa kuendelea ku hold verse kama hizo
 
Tuliza akili usikilize vizuri! Shida na ww mihemko ya hiyo dini inakupelekesha. Umeambiwa ndani ya ndege kulikuwa na abiria 2 ambao ni marubani by profession!
Kwa mujibu wa Netanyahu, Yaniv Hayoun ni fundi bomba na alijua kuendesha ndege kupitia "movie" moja tu!! Wala hakuna sehemu wamesema ana utaalamu wa urubani. Kwahiyo swali la jamaa liko valid bado.
 
Hizi movies nyingine zichezwe kwa akili. Script ya kijinga sana ya safari hii.
Hiyo ndege ingeanguka na kuua watu wote. Sasa hivi ungekuwa unafurahi na kusheherekea kama lile tukio la 0ctober 7 kipindi Hamas wanaenda kuvamia Israel na kuua na kuchukua mateka kuwapeleka Gaza😀😀😀
 
Kwa mujibu wa Netanyahu, Yaniv Hayoun ni fundi bomba na alijua kuendesha ndege kupitia "movie" moja tu!! Wala hakuna sehemu wamesema ana utaalamu wa urubani. Kwahiyo swali la jamaa liko valid bado.
Ndege ingeanguka na kuua. Sasa hivi ungekuwa unasheherekea kama lile tukio la October 7 la Hamas walipoenda kuua raia Israel😀😀😀

Unajua muislamu anayeswali sana ni mtu mbaya na hatari sana. Wewe chukulia mtu anaenda kwako anataka yeye ndiyo achinje kuku wakati hajui hata gharama ya kuku😀😀😀😀

Wabongo wanajidai wanajua kuchambua mambo wakati Zitto mwenyewe siasi yake ya majitaka imemshinda
 
Kuwatetea hawa jamaa ni kazi sana.
 

Kwanini sala zake zimpelekee kuamua kuangusha ndege? Hizo sala au ushetani? Kuua watu wasio na hatia sio sifa ya sala ya aina yoyote.

Hakuna mwanadamu aliyepewa mamlaka ya kuua mwanadamu mwingine. Huo ni ushetani mtupu
 
Kwa mujibu wa Netanyahu, Yaniv Hayoun ni fundi bomba na alijua kuendesha ndege kupitia "movie" moja tu!! Wala hakuna sehemu wamesema ana utaalamu wa urubani. Kwahiyo swali la jamaa liko valid bado.
Walioiendesha walikuwa deadhead crews.

Baada ya Captain kufungua mlango wa cockpit, marubani hao wa ziada waliokuwa kwenye viti vya abiria walishirikiana na abiria wengine (mmoja wao akiwa fundi/plumber raia wa Israel Yaniv Hayoun na daktari wa meno Musaev) pamoja na wahudumu wa ndege kumnyang'anya silaha mshambuliaji na kumfunga mikono.


View: https://www.instagram.com/reels/Dd8n4mmjr1K/
 
Hizi movies nyingine zichezwe kwa akili. Script ya kijinga sana ya safari hii.
Maswali Nimejiuliza ndege kupomoka toka futi elf 34000 hadi elf 13000 huo ni umbali wa kutisha sana na muda huo haina kiongozi ile ndege halafu tu anasema kwa kuangalia tu Air Crash Invetigation akainua ile stick ikakaa level baada ya hapo nani aliiendesha ile ndege hadi kutua??? kama rubani mwingine alikuemo kwanini sio yeye alishika ndege tangu mwanzo?? kuna uongo mwingi ukiliangalia lile jamaa liuaji Netenyau linakaa chini na kusema yale mambo mimi siamini kabisa....
 
Alikuwa anawahi bikira 72. Hizi dini ni upuuzi, mtu amesoma na kuzunguka dunia bado anafanya upumbavu km huo? Dini hapana!
Nadhani viongozi wa Dini wawape elimu hao waamini wao maana matendo wanayofanya sidhani kama dini ndiyo zinaelekeza ,hauwezi kuua watu ambao hawana hatia yoyote halafu useme ni JIHADI.
 
bro mwanzilish wa dini mwenyewe alikuwa Gaidi unategemea nini. hiyo dini bila upanga haiwez kuenea ni lazima walazimishe.
 
... fundi bomba hawa hawa tunaowajua au wengine?
Yes... Ni fundi Bomba kabisa ambaye ukimwita anakufungia Maji Bafuni, Chooni na Jikoni.

Nilikua namsikiliza wakati anahojiwa na Nyetenyahu, coz hata yeye alishtuka kusikia jamaa ni fundi Bomba..!

Fundi Bomba anasema Kuna kipindi kimoja Cha Television Huwa anapenda kutizama, na Huwa hatari kupitwa na hata Episode 1, kile kipindi kinazungumzia kuhusiana na Mambo ya Ndege Kwa ujumla, namna inafanya kazi, pia sehemu ya kipindi hicho Cha Kila week huzungumzia Mambo ya usalama wa Ndege, hufundisha Mfano imetokea Dharura mpo Angani na Marubanj wote wamepata shida kuzimia ama kufa n.k, unawezaje kujua Kuna Airport jirani, unawezaje kujua, Nini na nini Cha kufanya n.k

So baada ya kumdhibiti Rubani Gaidi na kumtoa nje ya Chumba Cha Marubani, Kwa sababu ya uzoefu wake wa kufatilia kipindi Cha Television, na kumbuka wakati huo Ndege ilikua inashuka chini Kwa Speed mpaka hapo ilikua mita 5,000 Toka ilipokuepo, so alikua anajua Cha kufanya nakumbuka anasema alianza na Steling akaiweka sawa, akabonyeza Button kadhaa, then akatangaza Kwa abiria kama kulikua na Marubani wazoefu waliokua kama abilia, bahati nzuri kulikua na Marubani 2 wazoefu, wakajitokeza, akawapisha Kiti, basi wakatua salama Saudia.
 
Msikilizeni George Galloway upande wake akisema mkasa huu
Pilot wawili eti walikuwa mmoja Ukrainian na mwingine Mrusi ndio walisaidiana tena wakiwa wasafiri

Kwenye ndege zingine hata Dr hakuna unaweza kufa ila kwa hawa Pilot wamo halafu maadui 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…