Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mwislamu huua kwa maamrisho ya Mungu wake uchwara, Mungu tahira Mungu Allah.Ugaidi ni nini? Yaani kwanini muislam akiua ni ugaidi ila akifanya mkristo au mzungu basi haiitwi ugaidi?
Bado huna hoja zaidi ya kurukaruka tuuuKwanza nimekuuliza kwa nini umechagua Marekani, hujajibu.
Finland, by ratio, ina watu wasiofuata dini kuliko Marekani, na haina hukumu ya kifo.
Scandinavia kama kote kuko hivyo. Kumeizidi Marekani kwa kutofuata dini, na kumeizidi Marekani kwa kutokiwa na hukumu ya kifo.
Sasa kwa nini unachagua mfano wa Marekani, nchi yenye siasa za udini sana?
Sasa kwa nini umechagua Marekani, na si Marekani tu, katika Marekani yenyewe kuna majimbo mengi ambayo hayana hukumu ya kifo, umechagua habari ya jimbo la kusini lenye wahafidhina wengi wa kidini wanaopenda hukumu ya kifo, na hujachagua Finland, nchi ambayo ina watu wasioamini dini zaidi ya Marekani?
Mpaka hapo huoni kuwa unajichagulia nchi mwenyewe kwa matukio ili uhalalishe maoni yako yasiyo na msingi?
Nimekuwekea mpaka maoni ya Supreme Court Justice Antonin Scalia kuhusu Marekani kuendeshwa kidini.
Tatizo nina mashaka kama unaelewa Supreme Court ni nini, unamjua Justice Antonin Scalia ni nani, au hata kama Kiingereza unajua kusoma.
Na kama hujui kusoma Kiingereza sina cha kujadiliana nawe kuhusu Marekani.
Kwa sababu utanipa kazi ya ziada ya kukufundisha Kiingereza.
😁🤣😀Mwislamu huua kwa maamrisho ya Mungu wake uchwara, Mungu tahira Mungu Allah.
Kama umesoma vizuri Quran utakubali kuwa Allah ndiye huamuru hawa vijana waue wenzao ila kama wewe muislamu wa level ya madrasa utasema Allah hataruhusu kuua wengine.
Mkristo akiua inakuwa issue yake binafsi, yaani ameua kwa sababu zingine tofauti na issue za kidini.
Huniambii chochote wewe, hata madrasa kwenyewe umeishia juzuu ya tatu.
Nimewahi kuwa muislamu tangu nikiwa mdogo nikasoma hiyo elimu yenu uchwara Lindi kwa Mzee then nikapelekwa Pwan kwa Sheikh Doga, kipindi kile Gorogosi akiwa friend wa Doga, nimekaa sana na Gorogosi nikimuhoji maswali mengi
Mimi sio muislam sielewi kwanini una conclude. Mie nimesema DINI zote at some point Mungu aliwaagiza kuua wasioamini ikiwemo biblia. Nadhani unafahamu Elia alichinja manabii wa baali zaidi ya elfu 4 kwa sababu ya malekezo ya torati ya Mungu.Mwislamu huua kwa maamrisho ya Mungu wake uchwara, Mungu tahira Mungu Allah.
Kama umesoma vizuri Quran utakubali kuwa Allah ndiye huamuru hawa vijana waue wenzao ila kama wewe muislamu wa level ya madrasa utasema Allah hataruhusu kuua wengine.
Mkristo akiua inakuwa issue yake binafsi, yaani ameua kwa sababu zingine tofauti na issue za kidini.
Huniambii chochote wewe, hata madrasa kwenyewe umeishia juzuu ya tatu.
Nimewahi kuwa muislamu tangu nikiwa mdogo nikasoma hiyo elimu yenu uchwara Lindi kwa Mzee then nikapelekwa Pwan kwa Sheikh Doga, kipindi kile Gorogosi akiwa friend wa Doga, nimekaa sana na Gorogosi nikimuhoji maswali mengi
FHizi movies nyingine zichezwe kwa akili. Script ya kijinga sana ya safari.Free Palestine from Islam
Hizi movies nyingine zichezwe kwa akili. Script ya kiji
Free Palestine from Islam, free Palestine from Hamas!Hizi movies nyingine zichezwe kwa akili. Script ya kijinga sana ya safari hii.
Taqiyah at its bestMpumbavu ni yule anayeamina eti fundi bomba anaweza kurusha ndege kwa kunagali kwenye muvi tu
Kama dini haikufanyi kuwa mtu mwema achana nayo!Fundi bomba wa mchongo, ni shushushu mbobezi
Mimi kilichonishangaza ni kitendo Cha rubani muislam kumchoma mwenzie kisuKilichonishangaza 'fundi bomba' kugeuka rubani na kuokoa abiria.
Nimekupa kifungu cha Supreme Court Justice Antonin Scalia kinachoonesha kuwa Marekani ni nchi yenye misingi ya Kikristo, mpaka Supreme Court Justice amesema hivyo.Bado huna hoja zaidi ya kurukaruka tuuu
Nimeichagua marekani kama mfano wa secular country
Nikaichagua pia china kama mfano wa secular country
Nimekuonesha ulivyo muongo kuhusianisha hukumu za kunyongwa na dini
Nikakuonesha kwamba hata mataifa yanayojifanya ama kujinasibu kua hayaamini dini bado yananyonga watu
Huna hoja na hujawahi kua na hoja kijana tulia tu
Muislam anachekesha akiwa siyo ndugu yako!Movie hiyo ,hakuna jipya ..Kelele za uchaguzi ,yaani watu wapange kuua abiria ,bora wangeusha makombora katika ile vita .
Yaani ni uongo mtupu ...Flight hijack ,kitendo cha kuingia na kisu ni urongo wa wazi...Uliona wapi mtu mmoja akateka ndege labda awe na bomu.
Muislam anachekesha akiwa siyo ndugu yako!
Fundi bomba kuongoza ndege!
WAislamu wote sio magaidi ila magaidi wote ni waislamu.View attachment 3681932
Rubani ambaye pia ni raia wa Oman aliyetaka kuiangusha Ndege ya Flydubai iliyobeba abiria wengi wao wakiwa raia wa Israel ameelezwa kuwa ni mtu wa dini sana (religious extremist). Kwamba anaswali sana na mara kwa mara kila siku na hataki kushikana mikono na wanawake ikiwa ni ishara ya kuwa ni mtu aliyeshiba dini.
Rubani mwenzake ameiambia Channel 16 ya Israel kuwa rubani huyo alijiunga na Flydubai miezi 8 iliyopita. Wakati Ndege hiyo ikiruka toka Dubai kwenda Israel jana na ikiwa angai, rubani huyo alimchoma rubani kiongozi na akaanza kuiangusha Ndege. Rubani kiongozi alifanikiwa kufungua mlango wa chumba cha kuongozea Ndege kabla hajazimia akapiga kelele kuomba msaada. Abiria walifanikiwa kumdhibiti rubani aliyegeuka gaidi na wakaiongoza Ndege kutua salama kwa dharura nchini Saudi Arabia.
Soma Pia: Jaribio la kigaidi: Rubani kumchoma kisu rubani mwenzie na kulazimisha ndege kubadili njia
Ndege hiyo ilibeba abiria 174 ambapo karibu wote wakiwa raia wa Israel. Mtu aliyeiokoa hiyo Ndege isianguke ni raia wa Israel aliyeelezwa kuwa fundi bomba wakati rubani aliyechomwa kisu ni raia wa India.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
🤣🤣🤣Nimekupa kifungu cha Supreme Court Justice Antonin Scalia kinachoonesha kuwa Marekani ni nchi yenye misingi ya Kikristo, mpaka Supreme Court Justice amesema hivyo.
So it is not that secular. Ina historia, ina utamaduni, ina sheria zinazotokana na Ukristo, na ina wahafidhina wengi wanaosimamia Ukristo.
Hujui Kiingereza? Kwa nini huja address hiyo hoja?
Nimekupa mifano ya nchi zinazo rank juu zaidi ya Marekani kwenye kuwa secular ambazo hazina death penalty.
Hujazigusa.
You are cherry picking countries for your shoddy argument..
Tatizo sijui kama unajua.
Kwa sababu nyie wafia dini hamuhitaji kujua mnahitaji kumpigania Mungu wenu tu ambaye hayupo.
Haya, tuondoe pingamizi la nchi hii au ile.
Immanent critique.
Bila kujali nchi na kama ni ya kidini ama la, unafananishaje mfumo rasmi wa nchi watu waliojiwekea kimahakama na mtu anayeamua kuua watu kigaidi tu?
Unaelewa kuwa unafananisha mambo ambayo hayafananishiki kwa sababu ni tofauti?
Unaweza kuielewa hii hoja?
Or is your peanut birdbrain too small to comprehend that?
Hii filamu kila siku inabadilika badilika tuuuView attachment 3683011
Kumbe ilikuwa ni shoka 🤣🤣k
Unafananisha gaidi anayetaka kuua watu willy nilly na mfumo wa kimahakama wa nchi ambao umekubalika na watu wa nchi hiyo?🤣🤣🤣
Utanisamehe ila akili huna zaidi ya kupiga kelele
Katiba yenyewe ya marekani inawakataza kuanzisha serikali ya kidini (rasmi)
Kwahio marekani kutaka kumuua yule dada hapa majuzi walitumia kipengele kipi cha dini yao
Nabishana na kilaza kumbe na kizungu chako chakuokoteza huna unalolijua
🤣🤣🤣Unafananisha gaidi anayetaka kuua watu willy nilly na mfumo wa kimahakama wa nchi ambao umekubalika na watu wa nchi hiyo?