Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

Shule zinatoa wanafunzi wenye akili sana shida wakishaingia CCM..
Umenikumbusha sana hiyo gallery ya Ilboru na nimefarijika kuona ofisi ya staff ya shule pamoja na jengo nililosomea kuanzia kidato cha kwanza hadi nne.kwa kweli historia ni mzuri sana nadhani hapo darasa la Paschal halionekani sababu liko jirani na Ilboru chapel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…