Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
- Thread starter
- #281
Shaaban Robert secondary school
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazingira ya shule kama hii yanakatisha tamaa kusomaView attachment 3058734
Same boys
Umenikumbusha sana hiyo gallery ya Ilboru na nimefarijika kuona ofisi ya staff ya shule pamoja na jengo nililosomea kuanzia kidato cha kwanza hadi nne.kwa kweli historia ni mzuri sana nadhani hapo darasa la Paschal halionekani sababu liko jirani na Ilboru chapelShule zinatoa wanafunzi wenye akili sana shida wakishaingia CCM..
Dah nimelia sana kuliona hili jengoView attachment 3046759
Bihawana secondary school -Dodoma
Mambo yamebadilika Sana ....
Nakumbuka 2000-2002🤣🤣🤣🤣🤣@makanyagio
Vijana Luthuli wabarikiwe sanaMzee Unaonekana mwana Luthuli ama Mugabe kabisaa😅
Unarukia nje upo lumbila tayariVijana Luthuli wabarikiwe sana
Skill and efficiency, Ifunda the glorious
Ooh God bless our school...Technical school live long forever..!!!
Dodoma Sec na Usagara naona majengo yanarandana sana. Ramani ilikuwa moja.View attachment 3058739
Dodoma secondary
Yaani kale kwa njia cha kutokea kama block B kuelekea Mazengo Hall kamekufa, daah.Mambo yamebadilika Sana ....
Nowadays wamewekewa na kageti haha duh..
Shule langu pendwa...Enzi izo Bugi tunawaita Nganza Girls maana Bwiru girls tulikuwa tunawaita Mende
Sina uhakika mkuuDodoma Sec na Usagara naona majengo yanarandana sana. Ramani ilikuwa moja.