Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

Lami hadi madarasani Kibaha hio
2021-06-22 (1).jpg
 
Kmmk😂 97.20 million mtu analipa ada tena ya mtoto mmoja na hapo ukute kabarikiwa watoto wanne

Kwa lugha rahisi kabisa ni kwamba kwa mwaka analipa ada sawa bna bei ya Toyota IST ishirini na saba pamoja na registration fees na kila IST inaweza kuwekwa mafuta lita 10 kuisogeza
Mkuu Mimi nimesoma international school of Tanganyika.

zamani ada kwa mwaka ni Tzs 65.5 milioni. Hii mwaka 2024 ada zipo juu Sana.
 
Huwezi amini lakini ukweli ni kwamba shule ya wavulana Ilboru mwaka 2020 ilikua ni shule ya 1 Arusha ya 2 kitaifa ilikuwa na division two moja tu zingine zote (more than a hundred students) walipata one division one za sabaa zilikua 57
View attachment 3047294
Baba yangu mzazi na baba mdogo wamesoma hapa Ilboru miaka ya 70. Baba alinisimulia wakiwa form III ndo uwanja wa Sheikh Amri Abeid unajengwa ikabidi wanafunzi Arusha nzima wawe wana zamu ya saidia fundi. Nakumbuka alitaja mwaka 1976
 
Lumbila kwa sana mitaa ya kalobe na nzovwe kutafuta sherehe kula vizuri ila ushauri mwingi kutoka kwa Modesta ulinirudisha kwenye mstari
Lumbila imesaidia sana Vijana kupona 😜

Kuna wakati tuliambiwa tukashiriki mazishi ya mtoto mmoja wa below 3yrs hapo Lumbila.

Mkuu wa Shule alisema Baba wa huyo mtoto alikuwa mmoja wa Mwanafunzi mwenzetu🙌
 
Back
Top Bottom