Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
- Thread starter
- #141
Nyumbani palipokutunza au siyo?Dungu jeshi hili..napakubali since day one
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumbani palipokutunza au siyo?Dungu jeshi hili..napakubali since day one
Majengo mazuri
Likers mmepita hapo nn? Opp na Shengena dormitories, jirani na ofisi ya Lwambao,jirani na TOD,jirani na Mangire video show kitaa pale,jirani na bubu madonati,jirani na Meru dormitories 14,16View attachment 3047321
Old Moshi Secondary school
Tulizoea kupaita SHAMBA LA ONEMalangali secondary school
View attachment 3046756
Tumepita hapo enzi za Kisongo. Nilikuwa nasubiri post hiiView attachment 3047331
Kisimiri Secondary shule ambayo imeongoza kwa miaka mingi advance kiasi cha serikali kuiweka iwe special school licha ya kuikagua usalama kama wote lakini one kali shule inaongoza salute kwa Master
Mkuu, nitajie advanced level boarding schools in Dar Es SalaaamView attachment 3046752
Kibasila secondary school
Serikali ilifanya makosa makubwa sana kutaifisha shule za mission au watu binafsi, walikuwa wanaendesha shule kwa gharama zao bila kutegemea serikali, ukiangalia vizuri ulikuwa upuuzi mtupu, walitakiwa kujenga zaoHii siku hizi imekuwa boys na A-level pekee yake? Nilipiga hapo kidato Cha tano na sita ila wakati huo ilikuwa mchanganyiko wafulana na wasichana kuanzia kidato Cha kwanza mpaka Cha sita. Moja ya shule nzuri na kongwe kabisa. Ilianza rasmi 1906 ikiwa ni shule ya mission kabla ya kutaifishwa na serikali ya Tanzania.
Nimeona bweni langu,chai-Mapana boys
Hii ni Private au Gov..?Peramiho girls secondary school-Songea Ruvuma shule ya mission hii inatikisa sana kwenye matokeo ya form four
View attachment 3048346View attachment 3048347View attachment 3048348
Unaijua hiyo? Shule bora sana hiyo.Where Galax boys lives
Al maarufu kama Galaxy Boys.Galanos secondary,maisha ya hii shule yalikuwa matamu sanaView attachment 3048383View attachment 3048384