Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

Ni tech , hapo si ni pale head office pembeni ya assembly hall mkuu?
Nimerudi kutazama picha ni penyewe kweli. Ila wakati naenda pale hilo paa lilikuwa limerekebishwa kwenye zile hela serikali ya Magufuli ilitoa wakafanya ukarabati wa mabweni yote, madarasa kadhaa, hall, ofisi, majiko, mess hall, vyoo na mengine.

Hapo imechakaa na msimu wa kiangazi. Mimi mwenyewe nilipanda maua hapo ikiwa mvua yanachanua vizuri (kama hawakuyaondoa baadae).
 
CHuma hiki hapa chini..!!!
1721637948445.png



1721638026171.png
 
Back
Top Bottom