Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

Mkuu Mimi nimesoma international school of Tanganyika.

zamani ada kwa mwaka ni Tzs 65.5 milioni. Hii mwaka 2024 ada zipo juu Sana.
 
Baba yangu mzazi na baba mdogo wamesoma hapa Ilboru miaka ya 70. Baba alinisimulia wakiwa form III ndo uwanja wa Sheikh Amri Abeid unajengwa ikabidi wanafunzi Arusha nzima wawe wana zamu ya saidia fundi. Nakumbuka alitaja mwaka 1976
 
Lumbila kwa sana mitaa ya kalobe na nzovwe kutafuta sherehe kula vizuri ila ushauri mwingi kutoka kwa Modesta ulinirudisha kwenye mstari
Lumbila imesaidia sana Vijana kupona 😜

Kuna wakati tuliambiwa tukashiriki mazishi ya mtoto mmoja wa below 3yrs hapo Lumbila.

Mkuu wa Shule alisema Baba wa huyo mtoto alikuwa mmoja wa Mwanafunzi mwenzetu🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…