Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

Wengine ilikua wanchepukia Ndwika girls
Tulikua na ugomvi na Masasi girls kisa tupo porini
We acha, battle za shule kipindi kile we acha tu.
Wale wa Mtwara Tech, walikuwa wanabebana na Mtwara TTC pale Ligula 😂😂
 
Ukutane na Ambonisye hapo utajua haujui
Hahahahaaaa
Yule mama wa vitumbua asbuh asbuh
Ambonisye akukute kwenye zile kona
Dada bonge wa kantini
Nmekukumbuka u boyzn gymnasium na chemba ya ulinzi
Me n mwana shaban Robert domitory dom chafu la wagumu
 
Back
Top Bottom