Pre GE2025 Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mtu ambaye aliwadhalilisha au aliwatuma watu kudhalilisha Mzee hatoacha kulia lia kila wakati zikimuijia zile fikra za matendo yake πŸ˜³πŸ™„ !

Malipo ni hapa hapa Duniani !
 
Wauane tuzike
 
Kwa mtazamo wangu, ukiwa msomi wala huna haja ya kujitangaza bali matendo yako yatawaonyesha watu kuwa wewe ni msomi!! Kwa majibu ya namna hii na kujigamba kwingi, hapo shule hamna! Zaidi anaendeshwa na mihemuko!!!
CC:Gambo.
Tetesi umo humu JF.

Soma ushauri kuntu huo juu.
 
Reactions: Tui
Kwa hiyo Mimi ni Gambo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Anaeamua mchujo ni Rais na si vinginevyo.

Kimsingi Bashite ni brainless ni mbulula tuu ndio wanamsapoti.

Mwisho Gambo ni Tiss sio lazima awe Mbunge.
Makonda pia ni Tiss
 
Reactions: Tui
Mtemvu atakubali sasa? Lol
Wabadilishane, aende akagombee ArushaπŸ˜„

Sisi tupate PM barabara za lami zitufuate mpaka majumbani mwetu. Kibamba iwe Torontooo ile anayosemaga Aggrey Mwanri
 
Kwa mtazamo wangu, ukiwa msomi wala huna haja ya kujitangaza bali matendo yako yatawaonyesha watu kuwa wewe ni msomi!! Kwa majibu ya namna hii na kujigamba kwingi, hapo shule hamna! Zaidi anaendeshwa na mihemuko!!!
Mwijaku staili
 
Labda KARMA inamuandama kwa ajili ya kudhalilisha Wazee ???!
 
Hivi Makonda aliwahi kuonyesha vyeti vyake alivyoambiwa 2017?
 
S

Sifa anayopaswa kuwa nayo anayetaka kuwa mbunge TZ ni kujua kusoma na kuandika 😳 !
Fulu sitopu ! πŸ™Œ
Unajitoa ufahamu. Kuna watu walifukuzwa kazi kwa sababu ya vyeti feki hilo haujui ? Kutumia cheti cha mtu mwingine ni kosa, ni heri mara 10 yule mbunge wa darasa la saba D ambae anajua kusoma na kuandika kuliko mwizi wa vyeti.

Acha mahaba Mrembo, Utapakatwa kwa miguu miwili yari yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…