Pre GE2025 Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Je, Mh Mrisho Mashaka Gambo (MB) kwao ni URU Kilimanjaro alikozikwa mama yake mzazi Rehema Paulo Momburi?
 
Kwa mtazamo wangu, ukiwa msomi wala huna haja ya kujitangaza bali matendo yako yatawaonyesha watu kuwa wewe ni msomi!! Kwa majibu ya namna hii na kujigamba kwingi, hapo shule hamna! Zaidi anaendeshwa na mihemuko!!!
Debe tupu haliachi kutika. Usomi wa vyeti ni moja ya matatizo makubwa tuliyo nayo nchini mwetu. Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia wimbi la viongozi wa serikali wakihaha kupata vyeti vya elimu ya ngazi ya udakitari, sio kwa ajili ya kutafuta umahiri katika utendaji wao wa kazi, bali wanapotajwa majina yao yaanze na dokta. Kama moto wa nyika usambaavyo, na waliosomea ufundi mchundo wakataka majina yao yanapotajwa litangulie neno Eng. Na sasa wahasibu wanakazana majina yao yatanguliwe na neno CPA. Kijana Maxiwel Cikumbutso wa Zimbabwe ametufungua macho. Kusoma hakuna maana kama kusoma huko hakutaleta unafuu na kuboresha maisha ya jamii inayotuzunguka
 
I
Imekuwa hivyo ndugu ??!
Unaweza ukatoa maoni yako bila kudhalilisha wengine na ukaeleweka !
Usiitafute ban humu sio Facebook au X !
 
Hata poti wangu Lukas Mwashambwa analowa kwa machozi!
 
Kwahiyo wananchi wapumbavu wa Arusha wanafanywa punching bad Bag
 
Angejigunia uchapa kazi, uadilifu, elimu kwa maana ya kuelimika na siyo kwenda shule.
 
I

Imekuwa hivyo ndugu ??!
Unaweza ukatoa maoni yako bila kudhalilisha wengine na ukaeleweka !
Usiitafute ban humu sio Facebook au X !
Sawa mama watoto nimekuelewa nisamahe, nipo chini ya miguu yako lakini sikuchungulii
 
Shule siyo hoja kwenye ubunge, hata kwenye darasa la 7 anaruhusiwa kwahiyo kama madiwani hawakutani shule yako siyo hoja, itakusaidia kufanya biashara zingine
Ficha ujinga wako aisee! Madiwani ndio wanachagua mbunge!?
 
Gambo asikubali kunyanyaswa,aonyeshe Balls.
 
Ficha ujinga wako wapi nimeandika madiwani ndo wanachagua? Kiazi wewe
Kumbe huelewi mantiki ya ulichokiandika! Maana ya "Madiwani hawakutaki" ni nini!? Wao ndio walimchagua kuwa mbunge!? Punguza kuandika andika tu kusiko na mpango kama hata unachokiandika haukijui.
 
We ni kilaza
Maana ya "kama madiwani hawakutaki" ni nini!? Je madiwani ndio walimchagua!? We kilaza usiandike andike tu usichokielewa, sometimes sio mbaya kubaki msomaji comments tu.
 
Maana ya "kama madiwani hawakutaki" ni nini!? Je madiwani ndio walimchagua!? We kilaza usiandike andike tu usichokielewa, sometimes sio mbaya kubaki msomaji comments tu.
Madiwani ni wawakilishi wa nani? Hao madiwani wanayo nguvu ya ushawishi kwa hao wananchi wao siasa ni ushawishi watu wakijengewa imani flan ndo upepo utakavyoenda ila kwakua processor yako ya ubongo ina tatizo huwezi kuelewa.

Ni sawa na wabunge wa Ccm waseme hadharani kuwa hawamtaki Rais aliepo na wanapendekeza mtu flan awe Rais, lazima kuna nguvu ya ushawishi ataipoteza Rais aliepo, licha ya kuwa Rais hachaguliwi na wabunge, kwahiyo punguza kuwa kiazi.
 
Kama madiwani ni wawakilishi wa wananchi , mbunge ni muwakilishi wa nani!? Sio kazi ya madiwani kuamua nani awe mbunge au huyu hafai kuwa mbunge, hiyo ni kazi ya wananchi. Hata Rais ana nguvu ya kulivunja Bunge pia, je wabunge wanakuwa hawafai!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…