Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge na ana vikao vya Bunge.
"Mimi sio ofisa tarafa, siyo mtendaji wa mtaa wala kata, mimi ni mbunge wa wananchi ambaye kazi yangu kubwa kwenda kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania kuwawakilisha wananchi wa Arusha Mjini.
"Katika Bunge yeye sio mjumbe, sasa anaposema sihudhurii vikao anamaanisha nini? Anatakiwa afafanue, maana kumuongelea mjumbe hupaswi kuongea jumla jumla tu," amesema Gambo.
Jana, Jumatatu Januari 6, 2025 wakati wa ziara ya Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega aliyekuwa akikagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Mianzini- Olemringaringa- Sambasha- Tumbolo ya kilomita 18 kwa thamani ya Sh23 bilioni, Makonda alidai Gambo haudhurii vikao.
Your browser is not able to display this video.
Makonda alisema hayo, baada ya Gambo kuelezea changamoto za barabara za Mkoa wa Arusha, akimuomba Ulega ampatie majibu.
Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Mrisho Gambo amemjibu Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda mara baada ya kuumbuliwa hadharani kwa kutoshiriki kwenye vikao na kuambiwa "Anatafuta umaarufu wa Kijinga"
"Lazima afahamu kwamba mimi sio Mfanyakazi wa Serikali, mimi ni Mwakilishi wa Wananchi, mimi ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mtu ambaye anaweza kutoa taarifa na rekodi kwamba sihudhurii vikao kwa mujibu wa sheria ni Bunge na sidhani kama yeye kwa nafasi yake ni sehemu ya Bunge"
"Ule mkutano haukuwa mkutano wa Mkuu wa Mkoa, ile ziara haikuwa ziara ya Mkuu wa Mkoa, ilikuwa ni ziara ya Waziri wa Ujenzi na mimi niliyemuuliza ni Waziri wa Ujenzi nilitegemea yeye ndiye angeweza kutupatia majibu ya changamoto yetu lakini cha kushangaza zaidi nikaona Bwana Makonda ametoa majibu ambayo kimsingi hayakuhusiana na hoja ambazo nimezijenga"
Your browser is not able to display this video.
Hiyo ni sehemu ya aliyoyaongea Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo akiongea leo Januari 7, Arusha kumjibu Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda ambaye jana alisema Mbunge huyo haudhurii vikao kama inavyotakiwa.
Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Mrisho Gambo amemjibu Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda mara baada ya kuumbuliwa hadharani kwa kutoshiriki kwenye vikao na kuambiwa "Anatafuta umaarufu wa Kijinga"
"Lazima afahamu kwamba mimi sio Mfanyakazi wa Serikali, mimi ni Mwakilishi wa Wananchi, mimi ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mtu ambaye anaweza kutoa taarifa na rekodi kwamba sihudhurii vikao kwa mujibu wa sheria ni Bunge na sidhani kama yeye kwa nafasi yake ni sehemu ya Bunge"
"Ule mkutano haukuwa mkutano wa Mkuu wa Mkoa, ile ziara haikuwa ziara ya Mkuu wa Mkoa, ilikuwa ni ziara ya Waziri wa Ujenzi na mimi niliyemuuliza ni Waziri wa Ujenzi nilitegemea yeye ndiye angeweza kutupatia majibu ya changamoto yetu lakini cha kushangaza zaidi nikaona Bwana Makonda ametoa majibu ambayo kimsingi hayakuhusiana na hoja ambazo nimezijenga" View attachment 3194787

Mnafiki sana huyu Gambo anapenda kuwazunguka wenzake kwa nia ya kupata sifa binafsi. Aligombana na Lema hadharani akiwa mkuu wa mkoa kwa ujinga huu huu uliomgombanisha na Makonda.
Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Mrisho Gambo amemjibu Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda mara baada ya kuumbuliwa hadharani kwa kutoshiriki kwenye vikao na kuambiwa "Anatafuta umaarufu wa Kijinga"
"Lazima afahamu kwamba mimi sio Mfanyakazi wa Serikali, mimi ni Mwakilishi wa Wananchi, mimi ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mtu ambaye anaweza kutoa taarifa na rekodi kwamba sihudhurii vikao kwa mujibu wa sheria ni Bunge na sidhani kama yeye kwa nafasi yake ni sehemu ya Bunge"
"Ule mkutano haukuwa mkutano wa Mkuu wa Mkoa, ile ziara haikuwa ziara ya Mkuu wa Mkoa, ilikuwa ni ziara ya Waziri wa Ujenzi na mimi niliyemuuliza ni Waziri wa Ujenzi nilitegemea yeye ndiye angeweza kutupatia majibu ya changamoto yetu lakini cha kushangaza zaidi nikaona Bwana Makonda ametoa majibu ambayo kimsingi hayakuhusiana na hoja ambazo nimezijenga" View attachment 3194787
Hiyo ni sehemu ya aliyoyaongea Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo akiongea leo Januari 7, Arusha kumjibu Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda ambaye jana alisema Mbunge huyo haudhurii vikao kama inavyotakiwa.
Nakubalina kabisa na bwana Gambo kwamba yeye hawajibiki Kwa RC Wala nani Bali wananchi so swala la kuhudhuria vikao vya kiutendaji ni la Makonda na Watumishi wenzie na sio Gambo.
Wajibu wa Gambo ni kuzisema Changamoto ambazo hazijatatukiwa swala la kwamba wamejadiki kwenye vikao ni non sense kwake kinachotakiwa ni kina Makonda na Watumishi wengine watatue Changamoto za Wananchi Ili Mbunge asiziseme. View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1876559914463617069?t=U9wHJjlxJfTVEnWKyDzNqg&s=19
My Take
Bashite aache kukurupuka ,alisema marehemu Lowasa Elimu,Elimu,Elimu π€£π€£ππ