Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point ya makonda ipo clear, Gambo hahudhurii vikao halafu anakuja kuuliza vitu public ili kuwachafuaHUYU NAE NI MJINGA TU.
HOJA YA MAKONDA NI AWE ANAHUDHURIA VIKAO BASI.
MIMI NAMUONGEZEA,KAMA HAWEZI KUHUDHURIA VIKAO,BASI AWE NA MWAKILISHI KILA KIKAO.
NJE YA HAPO HUU NI UJINGA WA MBUNGE.
Ana mapungufu dufu huyu Gambo !Mnafiki sana huyu Gambo anapenda kuwazunguka wenzake kwa nia ya kupata sifa binafsi. Aligombana na Lema hadharani akiwa mkuu wa mkoa kwa ujinga huu huu uliomgombanisha na Makonda.
Gambo alimuuliza swali Waziri!Point ya makonda ipo clear, Gambo hahudhurii vikao halafu anakuja kuuliza vitu public ili kuwachafua
Gambo wakati alivyokua mkuu wa mkoa wa arusha alikua hatumii akili na hekima kutwa kumdhalilisha lemaGambo ana akili na hekima
Watajuana wenyewe hukoSiku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge na ana vikao vya Bunge.
"Mimi sio ofisa tarafa, siyo mtendaji wa mtaa wala kata, mimi ni mbunge wa wananchi ambaye kazi yangu kubwa kwenda kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania kuwawakilisha wananchi wa Arusha Mjini.
"Katika Bunge yeye sio mjumbe, sasa anaposema sihudhurii vikao anamaanisha nini? Anatakiwa afafanue, maana kumuongelea mjumbe hupaswi kuongea jumla jumla tu," amesema Gambo.
Soma Pia: Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha
Jana, Jumatatu Januari 6, 2025 wakati wa ziara ya Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega aliyekuwa akikagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Mianzini- Olemringaringa- Sambasha- Tumbolo ya kilomita 18 kwa thamani ya Sh23 bilioni, Makonda alidai Gambo haudhurii vikao.
Makonda alisema hayo, baada ya Gambo kuelezea changamoto za barabara za Mkoa wa Arusha, akimuomba Ulega ampatie majibu.
Mwenye porojo ni makondaHawa nao, wamekosa Cha kufanya , wananchi wanataka maendeleo sio porojo.
NA WATU WANAJIFANYA HILO HAWAONI.Point ya makonda ipo clear, Gambo hahudhurii vikao halafu anakuja kuuliza vitu public ili kuwachafua
DCC/RCC na vikao vya kamati vya halmashauri kama diwani ikiwemo baraza la madiwaniKwani mbunge anatakiwa kushiriki vikao gani kikatiba, kwenye jimbo/mkoa wake?
Na mwenyekiti wa hivyo vikao ni nani mkuu? Tuelimishane taratibu ili tujue nani yupo sahihi.DCC/RCC na vikao vya kamati vya halmashauri kama diwani ikiwemo baraza la madiwani
DCC ni DC, RCC ni RC, vikao vya halmashauri ni Mwenyekiti wa HalmashauriNa mwenyekiti wa hivyo vikao ni nani mkuu? Tuelimishane taratibu ili tujue nani yupo sahihi.
Kwahiyo ni wajibu mbunge kuhudhuria hivo vikao, kama ni hivo mbona Makonda hajakosea kumpa makavuDCC/RCC na vikao vya kamati vya halmashauri kama diwani ikiwemo baraza la madiwani
Siyo wajibu yeye ni mjumbe halali wa hivyo vikao vyoteKwahiyo ni wajibu mbunge kuhudhuria hivo vikao, kama ni hivo mbona Makonda hajakosea kumpa makavu
Ujumbe wa Makonda umefika, kujitetea ni kujaribu kuilinda heshima yake.Ana mapungufu dufu huyu Gambo !
Unatetea ujinga. Hakuna asiyefahamu kuna vikao vya bunge, na muda mwingine kuacha siku moja ama 2 kurud jimbon huwa haina shida.Gambo yupo sahihi