Pre GE2025 Gambo: Mimi sio Mfanyakazi wa Serikali ni Mbunge, Makonda anahitaji kuelimishwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naunga mkono hoja
 
Kwan Gambo hajaelewa nini? Mbona anajibu mambo tofauti?
Mimi ngoja nikae upande wa Gambo hata ningekua mimi ningejibu hivyo Mkuu wa Mkoa sio Mbunge wa Mkoa ndicho alichomaanisha km DAB ni Mkuu wa Mkoa basi asisahau yeye Gambo ni Mbunge wa huo Mkoa ndicho alicho maanisha yeye sio katibu kata au mjumbe wa nyumba 10 ana vikao vya Bunge vinamsubiria huko kwa hio maana yake bwana DAB awe na mipaka ajue kipi kinafanywa na Mbunge na kipi kinafanywa na Mkuu wa Mkoa hicho ndicho alichomaanisha Gambo, nasubiria jibu kutoka kwa DAB
 
Hii derby mimi nabet watoe magoli mawili au zaidi kila timu
Team Gambo vs Team Makonda
 
Kina Bashite wako busy na matamasha sijui maihizo kama agisa masoko badala ya kutatua shida za Wananchi harafu ana mtisha Mbunge asiseme?
 
HUYU NAE NI MJINGA TU.
HOJA YA MAKONDA NI AWE ANAHUDHURIA VIKAO BASI.

MIMI NAMUONGEZEA,KAMA HAWEZI KUHUDHURIA VIKAO,BASI AWE NA MWAKILISHI KILA KIKAO.

NJE YA HAPO HUU NI UJINGA WA MBUNGE.
Gambo aende kwenye vikao kufanya nini? Ndiko anawajobika? Vikao vyake ni vya Bunge na sio vya Watendaji.

Mjinga ni Bashite
 
“Lazima afahamu kwamba mimi sio Mfanyakazi wa Serikali, mimi ni Mwakilishi wa Wananchi, mimi ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mtu ambaye anaweza kutoa taarifa na rekodi kwamba sihudhurii vikao kwa mujibu wa sheria ni Bunge na sidhani kama yeye kwa nafasi yake ni sehemu ya Bunge”
“Ule mkutano haukuwa mkutano wa Mkuu wa Mkoa, ile ziara haikuwa ziara ya Mkuu wa Mkoa, ilikuwa ni ziara ya Waziri wa Ujenzi na mimi niliyemuuliza ni Waziri wa Ujenzi nilitegemea yeye ndiye angeweza kutupatia majibu ya changamoto yetu lakini cha kushangaza zaidi nikaona Bwana Makonda ametoa majibu ambayo kimsingi hayakuhusiana na hoja ambazo nimezijenga”
 

Attachments

  • Habarimpya TV - Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Mrisho Gambo amemjibu Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda...mp4
    8.1 MB
Makonda mzee wa 'ma- festival', hana lolote jingine la maana.

Aandae nyingine aiite Gambo festival ili kuvuta attention ya watu, maana ndio haswa anachokipenda na kukiweza.....mdomo sanaaa, kazi kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…