Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Chief-Mkwawa njoo hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya kuharibu pad ndo kawaida kabisaa, kukuta log imelegea kama jino la kikongweMiuu inalipa Sana hi ila inahitaji mtaji mzuri
Bei za PS hutofautiana mfano PS 2 Ina Bei yake Ps 3 Ina Bei yake Ps 4 Ina Bei yake hivyo hivyo kwa PS 5
Huku kwetu
PS 3 Ni 300 (Hi haipendwi Sana)
PS 4 Wanacheza kwa 500
PS 5 700
Kama unataka Anza na PS 4 mbili na Ps 5 moja au Ps 4 moja na Ps 5 moja Weka game za aina tofauti Kama Soka magari Moto combat nk pia zingatia location nzuri
Changamoto
1.Umeme kukatika
2.Pad kuharibika
3.Kufatwa na Wazaz wa watoto kuja kukutolea Mbovu maana Madogo huiba Hata Pesa kwao ili Wakacheze game😀
Na ndio ninachotaka kukifungua, Not only high Standard but Also Quality and Premium Office.Ila pia kuna Game centre zile za high standard kuna kipindi walikua wanachezesha Ps4 lisaa ni 5000/=,Ps5 lisaa ni 10000/= na virtual reality dakika 20 ni 10000/=
Mtaji nilioplan kuwekeza sio wa Hizi Ps za kimtaaani ndugu zangu.Hizo ulizoonuesha hapo ni next level sio hz za kimtaani mtaani.
Hapo unaongelea ps5 na gaming pc ambazo bei ni za gari.😂
Virtual reality mall kubwa kubwa Mkuki, Aura zipoHizo Games Virtual Reality VR zip wapi dar kwa alie wahi kuona ?
Kwa flexibility hizi hizi Gaming pc zinakua Vr na hayo magari.Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara.
Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo magame ambao ni vijana (toto za kishua na waliorizika flani)
Kwa circle yangu ya maisha Sina mtu hata mmoja alie karibu yangu anaecheza hata Game la nyoka kwenye Simu, yani wanaonizunguka wote biashara zao ni zile acha kazi ufanye kazi.
Nakuja Kwenu wajuzi,wafanyabiashara,na yeyote anaeweza nipa HINTS kuhusu hii biashara.
Gharama za GAMES husika,
Changamoto za games(mashine)
Mtaji Unaoweza Tosheleza.
Jinsi ya Kuanza
Kuchezesha ni Bei Gani
Matumizi Makubwa ya Ofisi,nk
Taarifa zote ambazo watu mtakua mnazijua kuhusu hii biashara,nitaomba nipatiwe.
Game Station hiii nataka iwe na games zote za PS kuanzia Ps ya Kwanza hadi Ps ya sasa PS 5.
NA Pia itakua na Games kama inayooonekana kwenye hizi Clip hapa Chini.
Package ya ALL GAMES IN ONE ROOF.
View attachment 2673993View attachment 2673994View attachment 2673992
Mwisho Kabisa Naomba KIJANA anaejua ameshawahi kucheza Game Zote hizi na anaweza SIMAMIA ofisi kama hiii Aje PM tujue namna ya kufanya.
Nahitaji Mtu wa Kusimamia OFISI hii pindi nitakapofanikiwa Ifungua kutokana na Haya mtakayonishauri kupitia biashara Hiii.
Location muhimu sanq kwenye hii kitu, unatakiwa eneo ambalo linajitangaza lenyewe.Na ndio ninachotaka kukifungua, Not only high Standard but Also Quality and Premium Office.
Sitaki Games za 500 au 700 au Buku, nahitaji wateja watakaoweza Afford gaming time kuanzia 5000 kwenda mbele.
Hiki ni kitu kinachopendwa na wengi ni lazima kuwe na mchujo wa aina ya wateja.
Nimelenga Watu wakishua,wasio na shida hata kidogo hivyo sitegemei Kupata Mtoto au mtu asie na kipato.
Minimum Budget ya Hii Project niliyopanga itumia katika Vifaaa tu, ni 20m
Hii 20m nataka iingie katika ununuaji Games aina zote. Budget ya kubrand Ofisi najua haiwezi isha 10m...
so Plan ni 30m kwa kuanzia, the rest of the cost sizijui ndio mana nahtaji miongozo Yenu.
Chief nashukuru kwa muongozo naomba nisaidie kuchanganua kulingana na mtaji huu niweke aina gani ya mashine kulingana na uzoefu wako wa haraka haraka kuhusu haya makitu.Kwa PC unaweza pia sema itakucost sana compare na ps4, 4m kupanda kama unataka Quality nzuri.
Mkuu tafuta kwanza Eneo, sehemu ndio itakuonesha namna ya kupangilia hivyo vitu. Marketing ngumu sana Tafuta eneo linalojiuza hasa kwenye Malls.Chief nashukuru kwa muongozo naomba nisaidie kuchanganua kulingana na mtaji huu niweke aina gani ya mashine kulingana na uzoefu wako wa haraka haraka kuhusu haya makitu.
Mtaji ni 20m
Nichanganulie hapo niweke vr ngap,ps ngap,viti vingapi yani nisaidie kuimaliza 20m yote katika vifaaa BORA kabisa.
Kama kuna Games za kununua zujumlishe ndani humo humo kwenye hiyo 20m yani staki izidi hiyo pesa hata senti kwenye vifaaa Tu.
Mkuu kuhusu eneo lipo under control,sihitaji Mall kuna sehemu tayari ni BEST nimeshaiona ni swala la kusimamisha tu tofali.Mkuu tafuta kwanza Eneo, sehemu ndio itakuonesha namna ya kupangilia hivyo vitu. Marketing ngumu sana Tafuta eneo linalojiuza hasa kwenye Malls.
Vyema tembelea Mkuki na Aura uone wenzako wanavyofanya kazi.
Vyema pia uwe na Machine za kampuni moja uweze ku share account, hii itasaidia kutonunua kitu mara 2 kama games.
Biashara ya aina yoyote bila usimamizi inakufa,kuhusu hili naelewa mkuu kuna taarifaKama huna usimamizi mzuri, ni hasara juu ya hasara(niliamua kuuza vifaa
Mkuu kuhusu eneo lipo under control,sihitaji Mall kuna sehemu tayari ni BEST nimeshaiona ni swala la kusimamisha tu tofali.
Eneo ni swala liko ndani ya uwezo wangu kwa asilimia 100 na zaidi,Wateja sio tatizo ninachoamini ni mahali ulipotega OFISI ndio pana asilimia 90 kukufanikisha/kukufelisha ktk biashara husika.
Mkuu katika hii ishu nahitaji tu mchanganuo wa namna ya kununua games na vifaaa,Kuhusu wateja wanapatikanaje hayo maswala niachieni mimi (ndio mechi zangu za nyumbani hizo)
Mimi changamoto kubwa n nini ninunue,nini niache,nini kianze nini kifate,nk HILO TU. (ndio sijui kitu)
Mkuu siwezi kukupa ushauri 100% ila kuna Tier kama 4 hivi za Hizo VR, unaweza uka mix kutegemeana na soko,Mkuu kuhusu eneo lipo under control,sihitaji Mall kuna sehemu tayari ni BEST nimeshaiona ni swala la kusimamisha tu tofali.
Eneo ni swala liko ndani ya uwezo wangu kwa asilimia 100 na zaidi,Wateja sio tatizo ninachoamini ni mahali ulipotega OFISI ndio pana asilimia 90 kukufanikisha/kukufelisha ktk biashara husika.
Mkuu katika hii ishu nahitaji tu mchanganuo wa namna ya kununua games na vifaaa,Kuhusu wateja wanapatikanaje hayo maswala niachieni mimi (ndio mechi zangu za nyumbani hizo)
Mimi changamoto kubwa n nini ninunue,nini niache,nini kianze nini kifate,nk HILO TU. (ndio sijui kitu)
Mkuu ukifikia kwenye stage ya designing the place naomba nipe hio kazi mkuu.Mkuu kuhusu eneo lipo under control,sihitaji Mall kuna sehemu tayari ni BEST nimeshaiona ni swala la kusimamisha tu tofali.
Eneo ni swala liko ndani ya uwezo wangu kwa asilimia 100 na zaidi,Wateja sio tatizo ninachoamini ni mahali ulipotega OFISI ndio pana asilimia 90 kukufanikisha/kukufelisha ktk biashara husika.
Mkuu katika hii ishu nahitaji tu mchanganuo wa namna ya kununua games na vifaaa,Kuhusu wateja wanapatikanaje hayo maswala niachieni mimi (ndio mechi zangu za nyumbani hizo)
Mimi changamoto kubwa n nini ninunue,nini niache,nini kianze nini kifate,nk HILO TU. (ndio sijui kitu)
Je ni watoto tu wanacheza hizi games?Shouldn't this tell you something ?
Anyway kuna kipindi watu wanashangaa Ma-Playstation na Games hazipatikani kwenye Simu watoto wengi walikuwa wanapenda hii kitu hadi wengine kutoroka shule (hence angalia usigombane na wazazi kama ni mtaani / uswahilini)
That said sidhani kama gamers kwa Bongo ni sana..., kuna sehemu watu mpaka wana mashindano na kwenye computer zao wanaweka networking na kucheza multi-players...., Mtu anatengeneza Computer yake mwenyewe especially for gaming; yaani graphics cards tu anayoweka ni USD 1500 au zaidi (watu wa hivyo kama kuna competition anabeba li-computer lake kwenda kukesha sehemu kwenye tournament)
Wacheza PS wengi ni watu wazima sikuhiziJe ni watoto tu wanacheza hizi games?
VIpi kama ukiweka age restriction 18ys or 15yrs wateja watapatikana?