mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kumekucha kumekucha,Gamondi ametema cheche,adai kuna baadhi ya wachexaji wake wanakesha klabu ya usiku pamoja na baa ya kitambaa cheupe na kesho yaje wakija mazoezini wamechoka ,huku uongozi ukilifumbia macho suala hilo.
Amedai wengine usiku kucha wapo mtandaoni wakichat na kupata muda kidogo wa kulala,amedai pia yeye binafsi ameshindwa kuwadhibiti maana watukutu wengi ndani ya timu wapo karibu na uongozi.
Inasemekana mchezaji mmoja mpaka amepachikwa jina la DJ Ki,akiingia club hukaa kwenye cabin ya DJ,
Gamondi kibarua chake kipo hatiani kutokana na kiwango cha timu yake kushuka,ukiacha mechi za Azam na Tabora UTD alizopoteza mfululizo,mechi ya KenGold,Coastal Union na Simba alishinda kwa makosa ya kibinadamu ya waamuzi la sivyo huenda mechi hizo angapoteza au kutoa sare