Gamondi atema cheche,adai kuna wachezaji wanakesha kitambaa cheupe na uongozi hauwachukulii hatua

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kumekucha kumekucha,Gamondi ametema cheche,adai kuna baadhi ya wachexaji wake wanakesha klabu ya usiku pamoja na baa ya kitambaa cheupe na kesho yaje wakija mazoezini wamechoka ,huku uongozi ukilifumbia macho suala hilo.

Amedai wengine usiku kucha wapo mtandaoni wakichat na kupata muda kidogo wa kulala,amedai pia yeye binafsi ameshindwa kuwadhibiti maana watukutu wengi ndani ya timu wapo karibu na uongozi.

Inasemekana mchezaji mmoja mpaka amepachikwa jina la DJ Ki,akiingia club hukaa kwenye cabin ya DJ,

Gamondi kibarua chake kipo hatiani kutokana na kiwango cha timu yake kushuka,ukiacha mechi za Azam na Tabora UTD alizopoteza mfululizo,mechi ya KenGold,Coastal Union na Simba alishinda kwa makosa ya kibinadamu ya waamuzi la sivyo huenda mechi hizo angapoteza au kutoa sare
 
Ni kweli kuhusu hilo hata mimi naungana naye.

Kina Azizi Ki wame transform midomo na pua kuwa exhaust yani vinatoa moshi kuliko hata gari yenye piston ring mbovu.

Naskia mchizi tank 3 za shisha anazikata zote peke yake sijui zinawekwa kwa ujazo gani (hili watajua wazoefu)
 
Kumekucha kumekucha,Gamondi ametema cheche,adai kuna baadhi ya wachexaji wake wanakesha klabu ya usiku pamoja na baa ya kitambaa cheupe na kesho yaje wakija mazoezini wamechoka ,huku uongozi ukilifumbia macho suala hilo.

Amedai wengine usiku kucha wapo mtandaoni wakichat na kupata muda kidogo wa kulala,amedai pia yeye binafsi ameshindwa kuwadhibiti maana watukutu wengi ndani ya timu wapo karibu na uongozi.

Inasemekana mchezaji mmoja mpaka amepachikwa jina la DJ Ki,akiingia club hukaa kwenye cabin ya DJ,

Gamondi kibarua chake kipo hatiani kutokana na kiwango cha timu yake kushuka,ukiacha mechi za Azam na Tabora UTD alizopoteza mfululizo,mechi ya KenGold,Coastal Union na Simba alishinda kwa makosa ya kibinadamu ya waamuzi la sivyo huenda mechi hizo angapoteza au kutoa sare
Ile mechi na Simba ni wazi kuwa walikuwa wanapigwa nyingi tu.

Refa aliharibu ule mchezo.
 
Source: in makolo we trust. Makolo propaganda centre.
 
Sishabikii mpira ni simba na yanga kwa karne sasa.
Waende club wasiende ni simba na yanga tu mwishoni
Tukuyu star na coastal union waliwai kuchalenge
Iyo ligi
Simba na yanga ni karne sasa
vinginevyo
 
Ile mechi na Simba ni wazi kuwa walikuwa wanapigwa nyingi tu.

Refa aliharibu ule mchezo.
Makolo mnalalamikia penalty 2,Yanga walinyimwa penalty,hamza alimvuta dube akiwa mtu wa mwisho ilibidi apewe red card kama ya bacca dhidi ya azam kwa ujinga wa arajiga akampa yellow,kayoko na line 1 waliwapa chance ya offside mwanzo tu wa mchezo ateba akakosa,ila uwasikii Yanga wakilalamika,ile match mliokula 5 ilibidi mle 7 au 8,kama si arajiga kuwabeba,kapombe alimshika mguu mudathir ndani ya 18 arajiga akauchuna ile ilikua kadi na penalty
 
Attachments

  • privaldinho_20241021_reel_3483626017370192945_1_3483626017370192945.mp4
    3 MB
Ile mechi na Simba ni wazi kuwa walikuwa wanapigwa nyingi tu.

Refa aliharibu ule mchezo.
Makolo mnalalamikia penalty 2,Yanga walinyimwa penalty,hamza alimvuta dube akiwa mtu wa mwisho ilibidi apewe red card kama ya bacca dhidi ya azam kwa ujinga wa arajiga akampa yellow,kayoko na line 1 waliwapa chance ya offside mwanzo tu wa mchezo ateba akakosa,ila uwasikii Yanga wakilalamika,ile match mliokula 5 ilibidi mle 7 au 8,kama si arajiga kuwabeba,kapombe alimshika mguu mudathir ndani ya 18 arajiga akauchuna ile ilikua kadi na penalty
 
Attachments

  • Screenshot_20241109-110340_1.jpg
    Screenshot_20241109-110340_1.jpg
    246.3 KB · Views: 8
Makolo mnalalamikia penalty 2,Yanga walinyimwa penalty,hamza alimvuta dube akiwa mtu wa mwisho ilibidi apewe red card kama ya bacca dhidi ya azam kwa ujinga wa arajiga akampa yellow,kayoko na line 1 waliwapa chance ya offside mwanzo tu wa mchezo ateba akakosa,ila uwasikii Yanga wakilalamika,ile match mliokula 5 ilibidi mle 7 au 8,kama si arajiga kuwabeba,kapombe alimshika mguu mudathir ndani ya 18 arajiga akauchuna ile ilikua kadi na penalty
Wacha historia .Watu wanazungumzia msimu huu.Goli la Ken Gold,Offside dhidi ya Coastal Union. HIzo ni pointi 6 za dhuluma.Haki imetendeka dhidi ta Azam na Tabora pointi 6 zimedondoka
 
Back
Top Bottom