Gamondi atema cheche,adai kuna wachezaji wanakesha kitambaa cheupe na uongozi hauwachukulii hatua

Inasemekana mchezaji mmoja mpaka amepachikwa jina la DJ Ki,akiingia club hukaa kwenye cabin ya DJ,
 
Hayo mambo ya starehe wenzao huwa hata mapumziko ya katikati ya msimu hawayafanyi. Gamond alipaswa kumpiga bench Aziz K, mpuuzi sana.
 
Mnapenda uzushi ndugu zangu wa Kolo FC,vp mnashinda nao? Kufungwa tushafungwa au ww ulitaka kil siku tushinde sie.Hizi hali za mpito na timu itakaa sawa.
Endelea na ubishi wako . Kusikia kwa kenge mpaka damu masikioni.
 
elewe basi wewe kichwa ngumu mchezaji hakatwazi kuenjoy but sio kushinda usiku wa manane baa akila shisha na malaya kama afanyavyo aziz ki. Ndio maana kashuka kiwango.

Madrid ilifungwa sawa lakini vini hajashuka kiwango kwa starehe za kipuuzi kama azizi.
 
Kosa silioni mbona ulaya wakina Roomey, Dwight Yoke walikuwa wanakula bata,mpaka mida mibovu Halafu tokea lini ukawa na uchungu na Yanga........ kwani MVP wa mwaka jana Madrid ni nani? Msimu huu kiwango chake kipoje?
 
Makolo mnababaika sanaa vipigo vikianza mfululizo zile story za Mangungu zitaanzaa muda c mrefu..
 
Nilitazama Yanga Mechi yao na Azam kiufupi yanga wana uwezo mdogo Sana Kwa sasa.

Timu yoyote itakayokuwa serious itachukua Ubingwa.
 
Machezaji malevi na mapenda mbususu...haha kumbe Aziz anavuta shisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…