Gamondi atema cheche,adai kuna wachezaji wanakesha kitambaa cheupe na uongozi hauwachukulii hatua

Kumekucha kumekucha,Gamondi ametema cheche,adai kuna baadhi ya wachexaji wake wanakesha klabu ya usiku pamoja na baa ya kitambaa cheupe na kesho yaje wakija mazoezini wamechoka ,huku uongozi ukilifumbia macho suala hilo.

Amedai wengine usiku kucha wapo mtandaoni wakichat na kupata muda kidogo wa kulala,amedai pia yeye binafsi ameshindwa kuwadhibiti maana watukutu wengi ndani ya timu wapo karibu na uongozi.

Inasemekana mchezaji mmoja mpaka amepachikwa jina la DJ Ki,akiingia club hukaa kwenye cabin ya DJ,

Gamondi kibarua chake kipo hatiani kutokana na kiwango cha timu yake kushuka,ukiacha mechi za Azam na Tabora UTD alizopoteza mfululizo,mechi ya KenGold,Coastal Union na Simba alishinda kwa makosa ya kibinadamu ya waamuzi la sivyo huenda mechi hizo angapoteza au kutoa sare

IMG-20241108-WA0083.jpg
 
Hayo mambo ya starehe wenzao huwa hata mapumziko ya katikati ya msimu hawayafanyi. Gamond alipaswa kumpiga bench Aziz K, mpuuzi sana.
 
Mnapenda uzushi ndugu zangu wa Kolo FC,vp mnashinda nao? Kufungwa tushafungwa au ww ulitaka kil siku tushinde sie.Hizi hali za mpito na timu itakaa sawa.
Endelea na ubishi wako . Kusikia kwa kenge mpaka damu masikioni.
 
Sasa kafanya kosa gani? Yaani mda wake wa mapumziko asile maisha, maisha sio magumu namna hiyo. Huu mpira Madrid kapigwa tatu mfululizo, mara mbili kapigwa kwake goli zaidi ya tatu na bingwa wa UEFA msimu uliopita. Man City bingwa wa EPL mara tatu, kapigwa mara tatu mfululizo.

Mnataka kila siku timu ishinde......mseme GSM ananua mechi......
elewe basi wewe kichwa ngumu mchezaji hakatwazi kuenjoy but sio kushinda usiku wa manane baa akila shisha na malaya kama afanyavyo aziz ki. Ndio maana kashuka kiwango.

Madrid ilifungwa sawa lakini vini hajashuka kiwango kwa starehe za kipuuzi kama azizi.
 
Kosa silioni mbona ulaya wakina Roomey, Dwight Yoke walikuwa wanakula bata,mpaka mida mibovu Halafu tokea lini ukawa na uchungu na Yanga........ kwani MVP wa mwaka jana Madrid ni nani? Msimu huu kiwango chake kipoje?
 
Makolo mnababaika sanaa vipigo vikianza mfululizo zile story za Mangungu zitaanzaa muda c mrefu..
 
Nilitazama Yanga Mechi yao na Azam kiufupi yanga wana uwezo mdogo Sana Kwa sasa.

Timu yoyote itakayokuwa serious itachukua Ubingwa.
 
Machezaji malevi na mapenda mbususu...haha kumbe Aziz anavuta shisha
 
Back
Top Bottom