Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

Nabi went 49 with cheap players and less resources . This guy is useless
 
Yaani uzi wako zaidi ya asilimia 90 wamekupinga, ndio ujue wewe mpira ujui. Una matatizo binafsi na kocha. Kuna watu wame comment humu kwa takwimu na kiufundi ila cha ajabu hukutia pua yako kujibu hoja. Wewe hujui mpira uwe unatuliaga tu
Mna kocha pale . GAMONDI tapeli tapeli tu
 
Ila kusema ule ukweli; hata mimi sijawahi kumuelewa Joseph Guede! Anawezekana akawa ni mchezaji mzuri kama ilivyokuwa kwa Hafiz Konkoni! Ila mfumo wa uchezaji wa Yanga umemkataa kabisa.

Mfano jana kocha alitakiwa achezeshe viungo wengi, halafu na bull striker mmoja tu ambaye ni dogo Mzize kutoka na ukweli kwamba Azam wana viungo wengi wazuri! Kutoka kwa Pacome ambaye ni kiungo, na kuingia mshambuliaji mzigo (Guede), kuliidhoofisha sana timu.

Huyu Guede kama ana mkataba wa miaka 2 basi klabu ijiandae tu kuingia hasara. Maana siyo mshambuliaji tishio awapo kule mbele. Mara 100 ya Mzize! Maana unamuona anavyo hangaika, ingawa kuna wakati na yeye huwa anapoteza nafasi za wazi za kufunga.

Pia kumuanzisha dogo Kibabage ambaye anajua kushambulia tu, badala ya kukaba zaidi na kushambulia pale inapobidi! Halafu mkongwe Lomalisa akaachwa aanzie nje, pia kulichangia ku icost timu. All in all, tulivuna tulichopanda.
 
Anafanya vizuri au ndio hivyo tuu!?
Wamtimue arudi tu jangwani kiukweli hakuna kocha niliowahi muelewa falsafa zake kama Nabi.
Muhimu ni ushindi pia alikua mgumu kuruhusu magoli.
sure. huyu gamondi ni box
 
you know ball. ni kama ajui what he wants. he dominates the game ila ana decisions of a toddler. he needs to study the games. and see how to do better subs. 🚮 gamondi sio wa kukaa yanga kwa muda mrefu. they should be recruiting a next manager.
 
caf champions league ni bahati na vibes tu. simba is not playing well in a weak group games . playing in the quarter finals. BAHATI TU
 
Baada ya kufungwa mechi moja povu lote hilo, hivi hatujajua tu mpira ni mbinu za kivita?

Elewa neno mbinu za kivita. Hili kwa mtu mzima alitakiwa alielewe mapema , nilijua mechi na Azam ni mbaya na ngumu
 
Tukirudi kwenye hoja, UWEZO WA GAMONDI NI MDOGO MNO.
Anabebwa na uwezo wa wachezaji
 
caf champions league ni bahati na vibes tu. simba is not playing well in a weak group games . playing in the quarter finals. BAHATI TU
Kwahiyo Nabi alitolewa champions league kwavile hakuwa na bahati?
 
Kweli kufungwa sio poa.
Yaani we umemuona huyo Gwedegwede wenu tu bloangu?
 
Tukirudi kwenye hoja, UWEZO WA GAMONDI NI MDOGO MNO.
Anabebwa na uwezo wa wachezaji
Weka hapa hoja ya kimbinu na kiufundi, tatizo la Gamondi liko wapi?
Mzize kapata clear chance nne zote kazipoteza kaja kupata moja tu.
Wafungaji wakutumaiwa wa Yanga ni viungo hakuna straika wa maana atakayekaa mbele akaitumia nafasi sio Musonda sio Guede sio Mzize. Yanga walikuwa bora kipindi cha kwanza dakika za awali na zimetengenezwa nafasi za magoli ya wazi ila zimeshindwa kutumiwa ila lawama anapewa kocha yeye ndiye aingie akafunge?

Na pia wachezaji wa Yanga walikuwa wamechoka kwa kucheza mechi nyingi kwa muda mfupi hivyo ilipelekea kusiwe na ile high pressing kama mpira wa Yanga ulivyo lakini ikawa watu wanakabia macho. Ile ni uchovu wa mechi na hata majeraha ya Pacome, Yao yamechangiwa na fatigue. Ila msiojuwa mpira mnakaa kubwabwaja tu kocha uwezo hana.
 
Baada ya kufungwa mechi moja povu lote hilo, hivi hatujajua tu mpira ni mbinu za kivita?

Elewa neno mbinu za kivita. Hili kwa mtu mzima alitakiwa alielewe mapema , nilijua mechi na Azam ni mbaya na ngumu
for such substitution. he should face the heat, it has been going on for some times now
 
for such substitution. he should face the heat, it has been going on for some times now
It seems you know nothing about that, have you noticed how much games he lost? You know his profile? Compare to NBC premier league coaches
 
It seems you know nothing about that, have you noticed how much games he lost? You know his profile? Compare to NBC premier league coaches
yes. nabi went 49 games with a worst squad . 2 seasons 2 losses. what are you talking about?
he doesn't have the tactical touch.
I said it
 
From my inner heart ninakuunga mkono kabisa. Mimi nilipoona Mzize kaanza badala ya Musonda nikajua Leo kazi ipo. Pamoja na Mzize kufunga goli lakini tayari alikuwa amekosa magoli mawili ya wazi kabisa. Pacome alipoumia mtu sahihi wa kuingia alikuwa ni Okra lakini dah, akaingizwa Guede ! Hapo hapo nikajua Yanga haiwezi shinda hii mechi kwa sababu Mzize na huyo Guede wote ni wazito. Kwa kweli Kocha Gamond anaferi katika sub ! Tofauti na mtangulizi wake Nabi ambaye alikuwa mtalaamu wa Sub. Suala la Yanga kufungwa na Simba mechi ijayo Hilo sina hakika nalo sana maana Simba nao Bado wanajitafuta tu na wanategemea zaidi marefa.
 
yes. nabi went 49 games with a worst squad . 2 seasons 2 losses. what are you talking about?
he doesn't have the tactical touch.
I said it
Why are you comparing with nabi ,not benchika or dabo ,
 
yes. nabi went 49 games with a worst squad . 2 seasons 2 losses. what are you talking about?
he doesn't have the tactical touch.
I said it
Gamondi na Yanga ndio msimu wa kwanza, embu linganisha msimu wa kwanza wa Gamondi vs msimu wa kwanza wa Nabi kama lengo ni kufanya ulinganifu.

Na hata hivyo msimu wa 2022/2023 Nabi alipoteza mechi mbili katika ligi ya NBC na alitoa sare 3. Mpaka sasa Gamondi amefungwa mechi mbili na sare moja pekee. Una chuki binafsi dhidi ya Gamondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…