Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

Kufungwa mechi moja mmesha anza kupanic?
Washabiki wa Tanzania ni wa ajabu sana; wanataka wawe wa Timu ambayo haitafungwa na timu nyingine yoyote......kitu ambacho hakipo DUNIANI
Kama ingekuwa Yanga na Simba hazifungwi na timu nyingine, kungekuwa na haja gani ya kuwa na Ligi?
Mbona ulaya timu kali kabisa zinafungwa goli tatu hata tano na maisha yanaendelea
By the way; Jana wachezaji wa Yanga walikuwa wanacheza kwa uangalifu wasiumie kwa ajili ya mechi kubwa ya Kimataifa iliyoko mbele yao; na kwa wanaojua hesabau wanaweza kusema kufungwa jana kunaweza kuwa advantage kwao kwa mechi ya kimataifa.....
Nabi went 49 with cheap players and less resources . This guy is useless
 
Yaani uzi wako zaidi ya asilimia 90 wamekupinga, ndio ujue wewe mpira ujui. Una matatizo binafsi na kocha. Kuna watu wame comment humu kwa takwimu na kiufundi ila cha ajabu hukutia pua yako kujibu hoja. Wewe hujui mpira uwe unatuliaga tu
Mna kocha pale . GAMONDI tapeli tapeli tu
 
Ila kusema ule ukweli; hata mimi sijawahi kumuelewa Joseph Guede! Anawezekana akawa ni mchezaji mzuri kama ilivyokuwa kwa Hafiz Konkoni! Ila mfumo wa uchezaji wa Yanga umemkataa kabisa.

Mfano jana kocha alitakiwa achezeshe viungo wengi, halafu na bull striker mmoja tu ambaye ni dogo Mzize kutoka na ukweli kwamba Azam wana viungo wengi wazuri! Kutoka kwa Pacome ambaye ni kiungo, na kuingia mshambuliaji mzigo (Guede), kuliidhoofisha sana timu.

Huyu Guede kama ana mkataba wa miaka 2 basi klabu ijiandae tu kuingia hasara. Maana siyo mshambuliaji tishio awapo kule mbele. Mara 100 ya Mzize! Maana unamuona anavyo hangaika, ingawa kuna wakati na yeye huwa anapoteza nafasi za wazi za kufunga.

Pia kumuanzisha dogo Kibabage ambaye anajua kushambulia tu, badala ya kukaba zaidi na kushambulia pale inapobidi! Halafu mkongwe Lomalisa akaachwa aanzie nje, pia kulichangia ku icost timu. All in all, tulivuna tulichopanda.
 
Anafanya vizuri au ndio hivyo tuu!?
Wamtimue arudi tu jangwani kiukweli hakuna kocha niliowahi muelewa falsafa zake kama Nabi.
Muhimu ni ushindi pia alikua mgumu kuruhusu magoli.
sure. huyu gamondi ni box
 
most of time huwa namuona kocha kama anazinguua ila watu ninaofanya nao mjadala wana utimu sana ..vitu tactical kuviona hawawezi....mzize namkubali sana na kuna baadhi ya mechi naona uhitaji wake lakini atangangana na kina msonda dakika za kufungia anamingiza...sio hilo tu kuna vingi vinavyoashiria hajui au hawezi kuwa kocha bora yanga anashambulia sawa ...kujilinda anasahau sana au kuheshimu mppinzani
you know ball. ni kama ajui what he wants. he dominates the game ila ana decisions of a toddler. he needs to study the games. and see how to do better subs. 🚮 gamondi sio wa kukaa yanga kwa muda mrefu. they should be recruiting a next manager.
 
Ukienda kwa takwimu kati ya Nabi akiwa Yanga na Gamondi, za Gamondi zipo juu kwenye ligi kuu.
Tukija kwenye klabu bingwa, Yanga imekutana na test ngumu tatu
Medeama, Belouizdad na Al Ahly lakini timu imeweza kuruka kihunzi ila Nabi kakutana na Etoil du Sahel imemtoa mashindanoni.

Budget ya Far Rabat na Yanga, ya Rabat ipo juu lakini timu Yanga inacheza robo fainali ya klabu bingwa
caf champions league ni bahati na vibes tu. simba is not playing well in a weak group games . playing in the quarter finals. BAHATI TU
 
Baada ya kufungwa mechi moja povu lote hilo, hivi hatujajua tu mpira ni mbinu za kivita?

Elewa neno mbinu za kivita. Hili kwa mtu mzima alitakiwa alielewe mapema , nilijua mechi na Azam ni mbaya na ngumu
 
Yanga atachukua ubingwa kwa sababu Simba ana uwezekano mkubwa wa kuendelea kudondosha points na Yanga ana uwezekano mdogo sana wa kudondosha points. Haya matokeo yanachochea sana Uto kurudi kucheza mechi nje ya uwanja, sasa wale ndugu zangu wa Simba wapowapo tu wanasubiri kuletewa ubingwa
Tukirudi kwenye hoja, UWEZO WA GAMONDI NI MDOGO MNO.
Anabebwa na uwezo wa wachezaji
 
caf champions league ni bahati na vibes tu. simba is not playing well in a weak group games . playing in the quarter finals. BAHATI TU
Kwahiyo Nabi alitolewa champions league kwavile hakuwa na bahati?
 
Kweli kufungwa sio poa.
Yaani we umemuona huyo Gwedegwede wenu tu bloangu?
 
Tukirudi kwenye hoja, UWEZO WA GAMONDI NI MDOGO MNO.
Anabebwa na uwezo wa wachezaji
Weka hapa hoja ya kimbinu na kiufundi, tatizo la Gamondi liko wapi?
Mzize kapata clear chance nne zote kazipoteza kaja kupata moja tu.
Wafungaji wakutumaiwa wa Yanga ni viungo hakuna straika wa maana atakayekaa mbele akaitumia nafasi sio Musonda sio Guede sio Mzize. Yanga walikuwa bora kipindi cha kwanza dakika za awali na zimetengenezwa nafasi za magoli ya wazi ila zimeshindwa kutumiwa ila lawama anapewa kocha yeye ndiye aingie akafunge?

Na pia wachezaji wa Yanga walikuwa wamechoka kwa kucheza mechi nyingi kwa muda mfupi hivyo ilipelekea kusiwe na ile high pressing kama mpira wa Yanga ulivyo lakini ikawa watu wanakabia macho. Ile ni uchovu wa mechi na hata majeraha ya Pacome, Yao yamechangiwa na fatigue. Ila msiojuwa mpira mnakaa kubwabwaja tu kocha uwezo hana.
 
Baada ya kufungwa mechi moja povu lote hilo, hivi hatujajua tu mpira ni mbinu za kivita?

Elewa neno mbinu za kivita. Hili kwa mtu mzima alitakiwa alielewe mapema , nilijua mechi na Azam ni mbaya na ngumu
for such substitution. he should face the heat, it has been going on for some times now
 
for such substitution. he should face the heat, it has been going on for some times now
It seems you know nothing about that, have you noticed how much games he lost? You know his profile? Compare to NBC premier league coaches
 
It seems you know nothing about that, have you noticed how much games he lost? You know his profile? Compare to NBC premier league coaches
yes. nabi went 49 games with a worst squad . 2 seasons 2 losses. what are you talking about?
he doesn't have the tactical touch.
I said it
 
GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS

Sababu ni hizi

1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no tactics kabisa, nothing new. off position play kwa players is what he knows. useless manager to be precise.

2. Since Guede arrival, Gamondi kawa kama kichaa ajui kuwa he signed ana error anajaribu kutuprovia kuwa ni mchezaji mzuri. but big NO. subs zimekuwa worse , he is not the one. Ana mforce sana kwa MASHABIKI. we done with this. engineer asipo INTERFER. yanga itapotea. sundowns game is a lost course

3. Yupo inconstency sana. kama una bet don't give Yanga your money. huyu jamaa will lose a game or draw in wonders ways. yani ana depth of players lakin anamuona Guede tu. The moment guede yupo ndani. it's OVER. the player plays against the team kama yanga wapo 10 uwanjani.

4. Yanga achukui LIGI :: kwa staili yake hii amna kitu hapa, hana mipango kabisa . he will lose the Simba match. and 1 more match and lose to a 2 point lead. people use low block and he is done.

5. Yanga waingie sokoni kwa kocha mpya. huyu amna sehemu atawafikisha kama club. nope he is not the one. awezi fikisha club to the top. naona ndo maana he is always get fired in his 1st season.

6.AM DONE , mimi leo nimekuwa najiuliza sana. pacome sub ya guede. at that moment. shekhan . okra. musoda wapo nje.
nikaajua amna kitu humu.
max sub ya musonda [emoji848]. he has the depth. he cant use it. watch guede play against sundowns. tena more minutes than he deserves.

7. Leo nimeona mwanga. I can't respect him ever. iko hivyo nimevua vyeo vyote huyu gamondi wa mchongo. I think jamaa ajui anachofanya at times. sio emotionaly I have seen him do alot of sub mistakes leo. nimejua kuwa kweli akili hana. and he is not the one.

8. Anatembelea upepo wa Nabi. he was so tactical unajua kabisa anataka nini. Ana mipingo.
huyu gamondi amna kitu, akili imestack , useless after 1 season. fire him . amna progress hapa.

Note : Yanga mwaka huu bila bila amna kikombe mtachukua..
mamelodi atawapiga 5, mtatoka kwa aibu.
Simba atawapiga tena.
gamondi ataua depth ya kikosi
next season its over for your dominance. lastly don't watch the sundowns match utakuwa frustrated. atafanya sub ya guede kituko tena [emoji706][emoji706].
pacome off - guede In [emoji23][emoji23] kisa rushwa yake icheze tu..
From my inner heart ninakuunga mkono kabisa. Mimi nilipoona Mzize kaanza badala ya Musonda nikajua Leo kazi ipo. Pamoja na Mzize kufunga goli lakini tayari alikuwa amekosa magoli mawili ya wazi kabisa. Pacome alipoumia mtu sahihi wa kuingia alikuwa ni Okra lakini dah, akaingizwa Guede ! Hapo hapo nikajua Yanga haiwezi shinda hii mechi kwa sababu Mzize na huyo Guede wote ni wazito. Kwa kweli Kocha Gamond anaferi katika sub ! Tofauti na mtangulizi wake Nabi ambaye alikuwa mtalaamu wa Sub. Suala la Yanga kufungwa na Simba mechi ijayo Hilo sina hakika nalo sana maana Simba nao Bado wanajitafuta tu na wanategemea zaidi marefa.
 
yes. nabi went 49 games with a worst squad . 2 seasons 2 losses. what are you talking about?
he doesn't have the tactical touch.
I said it
Why are you comparing with nabi ,not benchika or dabo ,
 
yes. nabi went 49 games with a worst squad . 2 seasons 2 losses. what are you talking about?
he doesn't have the tactical touch.
I said it
Gamondi na Yanga ndio msimu wa kwanza, embu linganisha msimu wa kwanza wa Gamondi vs msimu wa kwanza wa Nabi kama lengo ni kufanya ulinganifu.

Na hata hivyo msimu wa 2022/2023 Nabi alipoteza mechi mbili katika ligi ya NBC na alitoa sare 3. Mpaka sasa Gamondi amefungwa mechi mbili na sare moja pekee. Una chuki binafsi dhidi ya Gamondi
 
Back
Top Bottom