Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Nilikosea sorry kaka mukubwa nilizani Kuna mutu nimemjibu kumbe sio weweKama sio kishabiki niambie ni kipi kilichokufanya uniite mimi mo fc?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikosea sorry kaka mukubwa nilizani Kuna mutu nimemjibu kumbe sio weweKama sio kishabiki niambie ni kipi kilichokufanya uniite mimi mo fc?
Kaka kama project Dili basi man uuu angekuwa na UEFA nyingi kuliko LiverpoolUnaweza kutofautisha kati ya kujipanga na project?
Tusiende kwenye hitimisho kabla kwanza ya kunitofautisha project na kujipanga kuna tofauti gani.Kaka kama project Dili basi man uuu angekuwa na UEFA nyingi kuliko Liverpool
Kwa hiyo Yanga huwa ananunua mechi!? ,sasa mbn hadi za kimataifa anashindaHilo ndilo tatizo Lao wakati hawajui nyuma ya pazia ushindi mwingi ni janjajanja. Kama sio refa basi kununua mechi. Hata timu ya Mmbape huwa inafungwa itakuwa Yanga?.
Gamondi nimemkubali mbinu yake ya Leo ya kuwavuruga mamelodi , kukaba Mpaka kivuli na counter attack , Kama striker wangekuwa makini yanga ingeshinda.Baada ya mechi ya Leo nitapata tadhmini ya mada yako .
Jinga la wapi hili??
honestly hiyo draw aisaidii kitu kwa YangaJinga la wapi hili??
Yanga wakienda kupaki basi mwanzo mwisho wasiruhusu goli au wakapata goli moja tu, tushapita! Haijaisha badohonestly hiyo draw aisaidii kitu kwa Yanga
Unapokuwa biased acha kuendeleza chuki zako. Hii statement inaonesha unachukia Yanga. Kweli Draw haisaidii chochote?honestly hiyo draw aisaidii kitu kwa Yanga
Unapokuwa biased acha kuendeleza chuki zako. Hii statement inaonesha unachukia Yanga. Kweli Draw haisaidii chochote?
the stake is very high. with a draw especially to inexperienced teamYanga wakienda kupaki basi mwanzo mwisho wasiruhusu goli au wakapata goli moja tu, tushapita! Haijaisha bado
sio hate ni logical statistics. they will probably lose the game.Unapokuwa biased acha kuendeleza chuki zako. Hii statement inaonesha unachukia Yanga. Kweli Draw haisaidii chochote?
There is a probability! Hivyo statement yako si sawa, unless hujui usemalosio hate ni logical statistics. they will probably lose the game.
5 zipo LoftusHuyo ni mtu alisema Yanga anakula Tano...hapo hapo anakwambia sare haisaidii kitu.
yani mzize sio wa semi final wala quarter finalsGamondi nimemkubali mbinu yake ya Leo ya kuwavuruga mamelodi , kukaba Mpaka kivuli na counter attack , Kama striker wangekuwa makini yanga ingeshinda.
Kama unajiamini toa ahadi kama Yanga asipofungwa hizo tano tuje tukutindue. Maana unawashwa washwa na mambo ya Yanga.5 zipo Loftus