Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

Hilo ndilo tatizo Lao wakati hawajui nyuma ya pazia ushindi mwingi ni janjajanja. Kama sio refa basi kununua mechi. Hata timu ya Mmbape huwa inafungwa itakuwa Yanga?.
Kwa hiyo Yanga huwa ananunua mechi!? ,sasa mbn hadi za kimataifa anashinda
 
Baada ya mechi ya Leo nitapata tadhmini ya mada yako .
Gamondi nimemkubali mbinu yake ya Leo ya kuwavuruga mamelodi , kukaba Mpaka kivuli na counter attack , Kama striker wangekuwa makini yanga ingeshinda.
 
Siku hizi kila mtu anajifanya ni mchambuzi na kinachochanbuliwa ni pumba tu.
 
Sukari hii sio bure yaani maandishi yote hayo ni kwa Gamondi daah...
 
Gamondi nimemkubali mbinu yake ya Leo ya kuwavuruga mamelodi , kukaba Mpaka kivuli na counter attack , Kama striker wangekuwa makini yanga ingeshinda.
yani mzize sio wa semi final wala quarter finals
 
Back
Top Bottom