Mkuu ukiibiwa simu hauwezi kuandika "wezi watu wabaya sana daa" ila ila kuna lugha utaitumia kuandika. Sasa kama mjukuu wangu aliumizwa kwa nini babake asieleze kwa ufupi ndipo aweke na hayo maneno chini?.
Hivyo ni vigumu kuwa na mjadara kwa jambo usilolijua, kumbuka...
'Hekima inaonekana pale unapomwambia mtu jambo kwa lengo la kushauri au namna nyingine'
Vp na wewe unavutia kuliko hao wote?Nilichoona ni huyo demu wa kwenye anavutia kuliko Halima.
Kuna watu wengine ni Baba Wazalishaji ila kunawengine ni Baba. Huwezi kumkuwadia binti yako namna hiyo. Au anafanya promo maana wanaojiita ma "Celeb" huwa wana stail zao za kutokea, si nasikia huyo binti ni msanii, au ndo anamtabulisha kwa stail hiyo.
Tuache kufata mkumbo tu, ww kama una mtoto wa kike wa miaka 21 unataka adate mtu wa miaka 20 au 22? Wote wanakaa kwao wote wanategemea wazazi then what next? Yy ameamua jema kwa mtoto wake apate mtu mzima ambae ameshamaliza madudu yote,
Kimfaacho mtu chake...! Lol.
Tatizo la Gadner ni kuongea hadharani. Ila mawazo yake hayana tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchungu wa mwana....Anajua anachowafanya watoto wa wenzake,Kwahyo hamna namna hichi kikombe lazima mwanae akinywee.Poor Careen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini pia bila kujua wawili hawa wanatoa ujumbe mzito sana
Yaani ni sperm donor aliyeshiriki tu kumpa ujauzito mama Karen!Huyo ni baba wa kibaiolojia tu Hamna kitu hapo,Baba hawezi kuzungimza ujinga kama huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni sperm donor aliyeshiriki tu kumpa ujauzito mama Karen!
Mimi ni MAMANyie wababa ambao hamzungumzi wishes zenu kwa watoto wenu wa kike ndio watoto wenu wanakuwa kama wakina ambaruty, kuongea na mtoto wako wa kike kuhusiana na mahusiano yake ndio ujanja sio ufala, ww mtoto wako mwanche agongwe na agements zake, yy mtoto wake anataka agongwe na mtu mzima