Gardner achakazwa baada ya kumkuwadia mwanae

Gardner achakazwa baada ya kumkuwadia mwanae

Mkuu ukiibiwa simu hauwezi kuandika "wezi watu wabaya sana daa" ila ila kuna lugha utaitumia kuandika. Sasa kama mjukuu wangu aliumizwa kwa nini babake asieleze kwa ufupi ndipo aweke na hayo maneno chini?.

Hivyo ni vigumu kuwa na mjadara kwa jambo usilolijua, kumbuka...
'Hekima inaonekana pale unapomwambia mtu jambo kwa lengo la kushauri au namna nyingine'

Unamwita mjukuu wako, ndio wanakutaka Sasa ukaoe mzigo ule...mkwe kasema

Nakubaliana na wewe najaribu kuwaza tu upande wa pili
 
Hata hivyo vijana wa siku hizi mnakera! Khaaa! Hamjui kutafuta hela! Mnataka mabinti warembo ambao hamuwezi kuwagharamia! Hakuna mzazi anapenda binti yake aolewe na mwanaume suruali ukamkondesha binti yake! Mwisho wa yote kwenye kuou au kuolewa ni 'pesa'. Mwenye pesa bila kujali umri ana nafasi kubwa ya kufanya ndoa idumu na kumpa binti yako maana halisi ya ndoa! Vijana acheni povu! Tafuteni hela ili tuwaamini kuwapa mabinti zetu! Mimi mwenyewe kama huna hela hugusi binti yangu!
 
Kuna watu wengine ni Baba Wazalishaji ila kunawengine ni Baba. Huwezi kumkuwadia binti yako namna hiyo. Au anafanya promo maana wanaojiita ma "Celeb" huwa wana stail zao za kutokea, si nasikia huyo binti ni msanii, au ndo anamtabulisha kwa stail hiyo.

Tuache kufata mkumbo tu, ww kama una mtoto wa kike wa miaka 21 unataka adate mtu wa miaka 20 au 22? Wote wanakaa kwao wote wanategemea wazazi then what next? Yy ameamua jema kwa mtoto wake apate mtu mzima ambae ameshamaliza madudu yote,
 
Ruksa kuungane naye, hamna shida.
 
skendo za kina amberruty,meninah,nk kuna watu wazima kama gadner

wanatamani zile skendo zingekua za watoto zao.
 
Demi kila kitu kina asili ya Roho kuna kitu kibaya kinaweza kuja kutokea mbeleni (kama bado) kati ya wawili hawa
Ni ngumu sasa Gadna kuishi na mwanamke kwakuwa kuna sehemu kama hii ya Mahusiano kachukua mtoto.. Sehemu hii muhimu yenye viashiria vya kubebishana
Vile vile itakuwa vigumu kwa binti kupata mume wa kutulia naye kwakuwa atataka atendewe naye kama alivyokuwa anatendewa na baba yake
Lakini pia bila kujua wawili hawa wanatoa ujumbe mzito sana
Tatizo la Gadner ni kuongea hadharani. Ila mawazo yake hayana tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Mungu anisamehe, akili yangu inaniaminisha G kashakwangua mwanae huyu.
 
Mshana Jr, Hapo umeongea point ni kweli kabisa. Huyu bint anaweza kuolewa na mwanaume wa rika lolote , lakini nafasi yake kubwa ya kufurahia maisha yake ya ndoa ni pale atakapo pata mwanaume mwenye umri unaokaribiana na baba yake na mwenye mapenzi ya kudekeza, ni vijana wachache wenye mapenzi ya aina hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ni sperm donor aliyeshiriki tu kumpa ujauzito mama Karen!

Nyie wababa ambao hamzungumzi wishes zenu kwa watoto wenu wa kike ndio watoto wenu wanakuwa kama wakina ambaruty, kuongea na mtoto wako wa kike kuhusiana na mahusiano yake ndio ujanja sio ufala, ww mtoto wako mwanche agongwe na agements zake, yy mtoto wake anataka agongwe na mtu mzima
 
  • Thanks
Reactions: amu

Mimi ni MAMA
 
Back
Top Bottom