sikupati kwa umbea shougger unawashaje sasa ?? ...bila shaka umetembelea viwanja vyetu vya Masaki eheee! hahahahahaha:smile-big:
Na kweli utakuja kuozee jela kama ndo hivyo... kwanza Dinazarde keshasema kwamba mtu mali ni yake lakini papuchi ni mali ya umma... kwahiyo hata dushelele nalo ni mali ya umma... ukilitaka la peke yako kanunue dukani kama yapo!!
nimesema sijibu mbulula. alafu wengine nawaheshimu kubishana nao ndo maana naona bora nikae kimya. Kikongweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee pito si umeliona lilivyoshiba? ndo toto la kambo la dayamondi
Unanisingiziaaaa kabisaaa sijawah sema kwa jina la baba na la mamaa
Wee umesema shahidi mimi...
Mrembo utanivunja mbavuuu.....hahahaaaa...atakuwa anaimbiwa baaba baaba huyoooo!
Aka kwani wakati naandika uliniona mie???
Halaf acha basi kumuita wifi yangu mi kikongwe wakati ana 26 tu 😀😀😀😀😀😀
Kwa hiyo unataka kusema uliibiwa password muda ule au unataka kusemaje?
Hahahaa labda wifi ajisitti Mtemvu....
Hhhhhaaaaaaa amuache wifi yangu mi nimekaribia kwenda Ug kwa Zari
N t akupitia eeee
Haya unipitie mwaya...Chezea wifi bilionea...wapi halima kimwana mapengoooo....!
Alaaaaaa hatutaki shidaa sieeeee
Halima atakua na joto sanaaaa akafie Liberia
Halafu akazikwe Sierra leone....wamuwache Dai ale rahaaaaaa.....
Alaaaa ale shida tuliziacha Tandaleeee
Kama kawaida yenu.....na lazima huu uzi ujae!
Ahsante Kim nana, nilitaka kumuwekea post yake lakini afadhali umeshuhudia na sasa ameufyata!Wee umesema shahidi mimi...
Mjinga uyo sasa kufanya hivyo ndio ujanja au? Mamtu mengine kama hayajitambui yeye hajui uko ni kujidharirisha au anatafuta kiki? Yeye angesema tu now yupo single basi sasa hizo mbwembwe za kuvuana nguo ni nini anajiweka sokoni au? Aangalie asije tunzwa na man mwenzake safari hii