The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Ni kweli alikua anakunywa sana,hukukosea.Mungu atupe mwisho Mwema! Sote tutakufa
Lavit njalas Miss_Mariaah machiaveli granitized OscarkambonaJr Lethergo magnifico min -me
Sikuwahi kumuona live baba wa watu nimeropoka tu, sijui kama alikua anakunywa au hapana
nipuuzieni..!
Kwaiyo nyie walokole wenye vidole mtaishi miaka mingapi kwamfano?Huyo mlevi na chapombe ulevi umeigharimu afya yake
Endeleeni kunywa na kujishindilia mi bia na miAlcohol kupitiliza kwa makusudi muue figo na maini
Mjifariji kwa kusema Kufa ni kufa
Mnamuona Dr Janabi ni Punguani hajui starehe anapowapa ushauri
Pumzika kwa Amani kakaMtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024.
Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Pressure (Shinikizo la Damu).
Wasafi Media Tunatoa Pole kwa Familia , Clouds Media Group , Ndugu Jamaa na Marafiki . Mungu ailaze Roho yake Mahali Pema Peponi Amein
Wasafi Media
View attachment 2968923
Pia soma
- Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu
Nlikua natafta hii comment hatimae nmeipataYanga SC Shikamooni.
Apumzike kwa amani huko aendako.Ni yaleyale maswala ya figo? Maana ndio ugonjwa unaotamba
Mkuu ni woga tu wa kifo wasamehewe.Hawa wanywa soda wanafki mno babu yangu anakunywa gongo na anamiaka 98 sa hii. Na BP yake inachezea 120/80 mpka 130/ 83.
Namuonea huruma binti yakeNi kweli alikua anakunywa sana,hukukosea.
Tunapaswa kujifunza
Hawa wazinguaji utawakuta kwenye kula tunda kimasihara hawa .Kwaiyo nyie walokole wenye vidole mtaishi miaka mingapi kwamfano?
The 109 years ww2 veteran alikuwa anavuta pakti kadhaa za sigara kila siku!! Na hakufa kwa kansa, Warren buffet is 94 years old na anakunywa 5 cans of coca cola daily, with junk foods hasa sweets and fried chickens.Sasa inakuwaje kuna watu life style yao ni nzuri, hawatumii vileo, anasa zozote ila wamekufa vijana tu na kuna mwamba hapo juu kasema babu yake anakunywa gongo na ana 98 years?
Kifo ni fumbo mjomba, siku ile unazaliwa amini ulizaliwa na destiny yako, duniani hakuna kuishi kwa kubahatisha au ku dictate ufe lini ndugu.
'Usione ukadhani.'Loh! RIP. This kind of lifestyle is so problematic. Pombe, nyama, magari, starehe, vitakula vichwa vingi sana vya vijana/watu wazima
Naomba nichague Kunyamaza ila niendelee tu kusema kuwa Yanga SC Shikamooni.kwamba yanga tumepita na kichwa, taratibu boss
Wasiokunywa pombe na nyama wote huwa wanafika miaka 100 eenh?Loh! RIP. This kind of lifestyle is so problematic. Pombe, nyama, magari, starehe, vitakula vichwa vingi sana vya vijana/watu wazima
Kifo hakipaswi kuogopewa hata kidgo ,ni kupoteza mda kuogopa kufa .Mkuu ni woga tu wa kifo wasamehewe.
Ubongo unamwaminisha kuwa wanaokufa kuna kitu wamekosea wakati wa kuishi ambacho mhusika hakitamtokea sababu yeye haishi hivyo.
Akishajiaminisha woga unapungua hajakaa sawa siku inafika anapaliwa na nyama inamkaba anakufa anatokea mwenzake naye anajifariji huyu amekufa sababu ya uroho, ni mroho mno, anabugia manyama makubwa makubwa angekula taratibu kama mimi asingekufa. Hivyo hivyo circle inaendelea.
kanzu ya popoma ndo ikoje mama?Njoo na ile kanzu ya Popoma labda nitakufikiria
Fala wewe huna unachojua...Janabi amshauri nani?...atakushauri pimbi kama wewe.....aanze na afya yake!Huyo mlevi na chapombe ulevi umeigharimu afya yake
Endeleeni kunywa na kujishindilia mi bia na miAlcohol kupitiliza kwa makusudi muue figo na maini
Mjifariji kwa kusema Kufa ni kufa
Mnamuona Dr Janabi ni Punguani hajui starehe anapowapa ushauri