TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

mtu kama alimzalilisha mwenzake asemwe hata kama kafariki ili tunaobaki tujifunze. Sasa maneno gani hayo alikosea sana. Hii tabia ya mtu akifa wanampamba mimi huwa ninashangaa Sana unafikri ww binadamu Hawa wa kitanzania
 
REST IN PEACE 😭😭
 
Kwenye magari inakuaje mkuu
Point ya jamaa hapo ni kwamba watu tunakosa muamko wa kufanya mazoezi hata yale ya kawaida ya kutembea kutoka hapa kwenda pale kwa sababu ya usafiri kuwa rahisi au mafanikio ya kimaisha ukienda vijijini huko huwezi kukuta mtu anakufa na magonjwa ya moyo ktk umri huo labda kama alizaliwa nao au alirithi.

Yupo mtu leo kijana aged 36 toka ameamka asubuhi mpaka jioni hatembei hatua mia (100) kwa miguu kwa sababu akitoka ndani kwake anaingia kwenye gari yake anaendesha akifika kituo chake cha kazi anapanda ghorofa ya pili anakaa kwenye kiti na computer yake akitoka hapo jioni anapita bar anakula nyama choma na bia zake za kutosha akimaliza anarudi kwake kulala ananenepeana hovyo na hiyo ndiyo ratiba yake mwaka mzima.

Ni mtihani sana
 
Wameupiga mwingi 😊 (Bata batani) pumzika kwa amani G umeumaliza mwendo..

Pole Sanaa malkia Karen kwa kumpoteza baba mzazi..

Pumzika G mbele yako nyuma yako
 
Maskini [emoji22]
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,Amin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…