The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
mtu kama alimzalilisha mwenzake asemwe hata kama kafariki ili tunaobaki tujifunze. Sasa maneno gani hayo alikosea sana. Hii tabia ya mtu akifa wanampamba mimi huwa ninashangaa Sana unafikri ww binadamu Hawa wa kitanzaniaKuna siku kipindi kile ndiyo wame achana tuu kuna clip moja akiwa stejini akasema hiyo kauli kwamba eti ame mkojolesha sana JIDE.
Dah!! Nili mdharau sana aisee, nilimuona mtu wa ajabu. Watu mme achana achaneni kistaarabu siyo kutoleana siri.
All in all YAMEPITA NA KWA SASA APUMZIKE KWA AMANI.