TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

Point ya jamaa hapo ni kwamba watu tunakosa muamko wa kufanya mazoezi hata yale ya kawaida ya kutembea kutoka hapa kwenda pale kwa sababu ya usafiri kuwa rahisi au mafanikio ya kimaisha ukienda vijijini huko huwezi kukuta mtu anakufa na magonjwa ya moyo ktk umri huo labda kama alizaliwa nao au alirithi.

Yupo mtu leo kijana aged 36 toka ameamka asubuhi mpaka jioni hatembei hatua mia (100) kwa sababu akitoka ndani kwake anaingia kwenye gari yake anaendesha akifika kituo chake cha kazi anapanda ghorofa ya pili anakaa kwenye kiti na computer yake akitoka hapo jioni anapita bar anakula nyama choma na bia zake za kutosha akimaliza anarudi kwake kulala ananenepeana hovyo na hiyo ndiyo ratiba yake mwaka mzima.

Ni mtihani sana
Upo sawa ila mazoezi si kwa ajili ya kuishi muda mrefu maana wapo wanaofia mazoezini, mazoezi ni kwa ajili ya kukufanya usisumbuke ukiwa hai. Unene ni usumbufu. Unataka kufunga kamba za viatu unapata usumbufu sababu umenenepeana.
 
Kuna show Moja Ilikuwa Ya clouds Miaka kidogo nyuma Imepita Baada ya Jide kutoa Ndi ndi ndi..

Gadna akachukua Kipaza akasema nanukuu
"Mwambie huyo Mimi Ni mwanaume Hata hivyo nimeishi Naye miaka Mingi sana Na Nishamkojoza sana Kwahyo wala hanisumbui:"

But all in All Marehemu Hasemwi R.I.E.P Captain 🫡🫡
Ila mpaka anafikia kuongea hivyo alikuwa ammeshiasimangwa sana na yule bibie
 
Back
Top Bottom