Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Safi sana. Binafsi sikuipenda ile kauli ya Gardner.
 
Anaongea hivyo kama nani? Je anafahamu ugomvi uliopo baina ya Gadner na Jay Dee? Kwa nini anapenda kuingilia mambo ya chumbani? Je mbona hatoi rai kama hiyo kwa EFM ambao kila uchwao wanashirikiana na Lady Jay DEE kumnanga Gadner na Clouds?
 
Sifa zimewazidi Clouds tangu Magu kuwapijia simu basi wanajiachilia sana
 
Anaongea hivyo kama nani? Je anafahamu ugomvi uliopo baina ya Gadner na Jay Dee? Kwa nini anapenda kuingilia mambo ya chumbani? Je mbona hatoi rai kama hiyo kwa EFM ambao kila uchwao wanashirikiana na Lady Jay DEE kumnanga Gadner na Clouds?
Kitu gani Gadner kaongea? sisi wengine huwa hatufuatilii kabisa mambo ya chumbani

Mkuu inamaana umeandika hayo yote bila kujua kaongea kitu gani! Dah, we ni noma.
 
Anaongea hivyo kama nani? Je anafahamu ugomvi uliopo baina ya Gadner na Jay Dee? Kwa nini anapenda kuingilia mambo ya chumbani? Je mbona hatoi rai kama hiyo kwa EFM ambao kila uchwao wanashirikiana na Lady Jay DEE kumnanga Gadner na Clouds?
Sasa mambo ya chumbani pale viwanjani yalifuata nini?
 
Huyu ni naibu waziri wa afya, wanawake, jinsia na watoto.
Gadnaer kachemsha sana, lakini anaweza akabisha kuomba radhi kwamba hajamkosea kitu Jide, je Kingwangwala anaweza kuthibitisha ayasemayo dhidi ya Gadner?
 
Asalaam alyekhum Mhe. hivi haukuwepo bungeni wakati mhe fulani akiwasimanga waheshimiwa mababy? kwa ujumla wao?
 
Kigwangwala aache kukurupuka hayo ni mambo ya wapendanao.
 
Mimi nimemsikia Gardner akisema hababaishwi na yule mtoto wa kike... amemkojoza kwa miaka kumi..... lakini mpaka mwisho hakumtaja mtu
Sasa huyo ledi jei dii kaingiaje hapo wakati hakutajwa? Watoto si wako wengi jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…