KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Ukifungua ukurasa kama unataka kuandika kitu chochote hizo icon ndipo utaziona. Avator hilo litakuwa tatizo la kifaa unachotumia kwa kuwa mimi na pia natumai wenzangu wengine tunaiona, kwa upande wa private message (pm) inapatikana kwenye rula pameandikwa 'inbox' ukigonga patafunguka na utaipata hiyo pm.Yan kwangu avatar za watu hazionekan, pm hainekan, sehemu ya like haionekan, huo upande uliosema wapo mods siwaoni, Picha hazifunguki, Yan Ni balaa Boss, embu nisaidie Mkuu
Wakati ukifungua ukurasa kama hivi ukiscroll kwenda juu upande wa kulia, utawaona moderators. Kutofunguka kwa picha nayo ni tatizo la kifaa.