Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Nimeisikiliza hiyo clip sidhani kama ina udhalilishaji wowote ... Hapo tatizo ni faragha imewekwa bayana ila hakuna udhalilushaji

ni kweli! ila amejidhalilisha maana alikua anatoa povu tuu angetoa mbegu for 15yrs angekua na watoto watatu hv!
 
Jamani,sasa ana uhakika gani kama alikuwa anakojoa kiukweli?what if alikuwa anafake tu
 
Labda amemaanisha kumsindikiza uwani usiku...baby nisindikize uwani naogopa.
 
Hana adabu kama kidume mbona hakumzalisha? Mariooos mkubwa huyo.
 
Linaelekea na usiku linakoroma limarioos hili. Shwetani mkubwa.
 
Kumbe Gadner anajua kumkojoza mwanamke? Hongera zake maana wanaume wengi wa Dar hawawezi kumkojoza mwanamke sababu yakula chips mayai na kuku wa kizungu, shame on you wanaume wa Dar

wamawake kwa visilani ukimega kisela atakuanika mtaa wote watajua ndo nini sasa hasira wazimalizia jf jamaa alikupiga kisela unasingizia chips na mayai kupoza machungu ukiwa mwanamke wa mkoa ukija dar kuwa makini huku hatuhongi saiv tunamega kisela.
 
Nimeisikia hiyo Clip, bado siamin kama ni Gadner kweli ..!! Mi ni shabiki wake sana, sijapenda hayo maneno ..!!
 
Mwili mkubwa akili kisoda.
Wanaume wanajisifia kumpa mwanamke mimba Marioo anajisifia kumkojolesha, kazi anayo.
Amshukuru Jide kwa kumuhifadhi kwa miaka 15,
 
Mwili mkubwa akili kisoda.
Wanaume wanajisifia kumpa mwanamke mimba Marioo anajisifia kumkojolesha, kazi anayo.
Amshukuru Jide kwa kumuhifadhi kwa miaka 15,
nisalimie kule jukwaani kwetu
 
Back
Top Bottom